Elections 2015 Magufuli anatukwepa - BBC Swahili

Nmefurah angalau kusikia kwa masikio yangu kuwa BBC wamejitahid kumtafuta lkn anajifanya nt reachable, otherwise wangeendelea kutudanganya hawa fisiemu

Na ndio message aliyotaka kudeliver Kikeke. Kama kungekuwa na means za kuwacorrupt BBC hawa jamaa wangefanya fasta (kama JK alivyostage Q&A session na media mwaka 2010)
 
Na ndio message aliyotaka kudeliver Kikeke. Kama kungekuwa na means za kuwacorrupt BBC hawa jamaa wangefanya fasta (kama JK alivyostage Q&A session na media mwaka 2010)

Imekula kwao,tushawagundua,anyway mtazame mlishwa sumu star tv
 
Kila siku nasema elimu ya Tanzania iko ahera. Amefikaje ngazi ya PHD huyu kilaza? Hajakaa kisomi kabisa. Na kama manamba.

Kuna baadhi ya courses pale UDSM hawafanyi presentation ya progress report kwa level ya Masters na PHD. Wahuni wachache hutumia mwanya huo kufanyiwa kazi. Bila shaka PHD ya Mr. Sintowaangusha ilipatikana kwa style hiyo.
 
Sipati picha anaongoza kikao EAC.
Au anaenda kuhutubia UN.
Au mabalozi wanakuja kujitambulisha kwake.
Teh teh teh

Kuhutubia UN inaweza isiwe ishu. Si atakuwa anasoma tu kwenye karatasi. Halafu na alivyo hodari wa kukariri anaweza akaikariri hata robo tatu nzima ya hotuba.

Kasheshe akiwa sehemu kama Davos kwenye yale ma panel discussions ambapo mtu anakuwa hasomi hotuba.

Je, ataongea Kiswahili na kutumia mkalimani au ataongea Kiingereza?

Mimi natabari atachomoa kabisa kwenda huko Davos.
 
Zaidi ya Barabara hakuna kingine anachojua.

Huko BBC ataleta aibu tupu, bora asiende.

Na idadi ya samaki na mifugo yote Tanzania.

Utasikia

"Kwa sasa tumejenga kilomita za barabara elfu tano mianane themaniilni na sita katika mwaka huu wa fedha"
 
Tuko busy na kampeni

kuhojiwa si zaidi ya dakika10 na anaweza akawaita popote atakapo BBC wakafika. hapo vipi kazi tu. msitudanganye ameshaanza kufunga vioo hata bado kuchaguliwa. je akichaguliwa!
KURA KWA LOWASA ni jasiri mtulivu na hana papara pamoja na kuwa afya yake iliandamwa sana alipokuwa ccm. sasa yupo fiti UKAWA. Kawaida askari jasiri akimaliza vita hakosi majeraha. Wakenya walimchagua Kibaki akiwa hawezi hata kusimama.
 
Kuna baadhi ya courses pale UDSM hawafanyi presentation ya progress report kwa level ya Masters na PHD. Wahuni wachache hutumia mwanya huo kufanyiwa kazi. Bila shaka PHD ya Mr. Sintowaangusha ilipatikana kwa style hiyo.

Huwa najiuliza aliipataje jiyo PhD yake? Aliiteteaje? Na kwa lugha gani?
 
Back
Top Bottom