Elections 2015 Magufuli anatukwepa - BBC Swahili

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,401
20,659
Leo kwenye taarifa ya habari ya BBC Swahili saa tatu usiku, imeripotiwa kuwa John Magufuli amekuwa akikwepa kila BBC wanapotaka kumfanyia mahojiano. Matumaini yao ilikuwa iwe jana, finally, cha ajabu, jamaa akasepa dakika za mwisho.

Kwa maswali yale aliyopigwa Lowassa, no wonder Magufuli anakimbia. Huu ni udhaifu pia.
 
Nmefurah angalau kusikia kwa masikio yangu kuwa BBC wamejitahid kumtafuta lkn anajifanya nt reachable, otherwise wangeendelea kutudanganya hawa fisiemu
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom