Elections 2015 Magufuli anatukwepa - BBC Swahili

Kuhutubia UN inaweza isiwe ishu. Si atakuwa anasoma tu kwenye karatasi. Halafu na alivyo hodari wa kukariri anaweza akaikariri hata robo tatu nzima ya hotuba.

Kasheshe akiwa sehemu kama Davos kwenye yale ma panel discussions ambapo mtu anakuwa hasomi hotuba.

Je, ataongea Kiswahili na kutumia mkalimani au ataongea Kiingereza?

Mimi natabari atachomoa kabisa kwenda huko Davos.
Atasema I won plesidential errection fair
 
Na idadi ya samaki na mifugo yote Tanzania.

Utasikia

"Kwa sasa tumejenga kilomita za barabara elfu tano mianane themaniilni na sita katika mwaka huu wa fedha"

Yule ni muongo.
Hizo figures anajitungia na hayupo consistency kwenye hizo data zake.
Akirudia tena kusema anataja tofauti.
Ushawahi jiuliza hao samaki walihesabiwaje?
 
Kuhutubia UN inaweza isiwe ishu. Si atakuwa anasoma tu kwenye karatasi. Halafu na alivyo hodari wa kukariri anaweza akaikariri hata robo tatu nzima ya hotuba.

Kasheshe akiwa sehemu kama Davos kwenye yale ma panel discussions ambapo mtu anakuwa hasomi hotuba.

Je, ataongea Kiswahili na kutumia mkalimani au ataongea Kiingereza?

Mimi natabari atachomoa kabisa kwenda huko Davos.

Na bakuli sijui ataenda nani?
Au specialist wa kutembeza bakuli?
 
Akakamatwe kwa nguvu ahojiwe, si anahojiwa kiswahili sa anaogopa nini...
Itabidi huyo atakayekwenda kumkamata naye awe amejiandaa vyema, kwa kuwa si mnajua huyo jamaa ni mtu wa ma-pushup kwa hiyo yuko fit sana?
 
Tuko busy na kampeni
Waombeni bbc wawapatie maswali ili mumsaidie Dr. Pombe na Magufuli kujitayarisha kujibu.
Mhakikishieni kuwa atahojiwa kwa kiswahili au BBC waanzishe BBC Kisukuma kwa dharura ili iweze kumhoji Dr. Pombe.

BBC tafadhalini msitukoseshe uhondo.
 
Halafu ndio mtu eti alikuwa anataka mdahalo na Lowassa huyo? Hebu fikiria hii BBC Swahili anakimbia ingalikuwa ile ya kizungu jee?
 
Ha ha haaa! Dr Mapushapu amejilostisha dakika za majeruhi. Naombeni clip ya akina Kikeke walipokuwa wanaongelea magumashi ya jamaa.
 
Back
Top Bottom