Ndugu yang kila nabii na kitabu chake. Mzee Mwinyi alipoingia madarakan aliwatema viongozi wengi waliokuwepo ktk serikali ya Nyerere, hakuna mtu aliesema Mwinyi kamhujumu Nyerere. Mkapa alipoingia hivyo hivyo aliwatema viongozi wengi waliokuwepo ktk serikali ya Mwinyi, hakuna aliemlaumu kwa hilo. Kikwete halikadhalika alifanya the same kama watangulizi wake na yeye akaja na watu wake kuongoza serikali yake japo wapo wachache wa Mzee Mwinyi na Mkapa waliokuwepo, hakuna aliempigia kelele au kumlaumu. Hayati Magufuli pia alipoingia alipanga safu yake aliyoona ndio bora na itakayomsaidia kuifikisha Tanzania ilipofika pia na yeye hakulaumiwa. Sasa ni zamu ya mama na yeye ana haki au uhuru wa kupanga au kuchagua anaowataka yeye ktk serikali yake kulingana na nguvu aliyopewa na katiba kwahiyo haina haja ya kumlaumu na kuona kwamba sio mzalendo au anamfanyia hujuma marehemu. Tumuombee dua mama atufikishe salama huko tunapoelekea maana yeye ndio dereva na sisi ni abiria wake.Ni jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemea mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozwi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tuna ogopa hii serikali isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwende wa kimapinduzi wa magufuli.
Hujui hata maana ya neno mwanamapinduzi?Ni jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemea mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozwi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tuna ogopa hii serikali isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwende wa kimapinduzi wa magufuli.
Tofauti na hao marais wengine mama samia kaingia kwa kura za magufuli. Watu walimpigia magufuli kura kwa asilimia 84.6. Hii ni awamu ya magufuli sema mungu kampenda. Huyu mama kutuletea mambo za fikra zao za laisez faire upwani za kipigaji hakika tunaumia sana roho.Ndugu yang kila nabii na kitabu chake. Mzee Mwinyi alipoingia madarakan aliwatema viongozi wengi waliokuwepo ktk serikali ya Nyerere, hakuna mtu aliesema Mwinyi kamhujumu Nyerere. Mkapa alipoingia hivyo hivyo aliwatema viongozi wengi waliokuwepo ktk serikali ya Mwinyi, hakuna aliemlaumu kwa hilo. Kikwete halikadhalika alifanya the same kama watangulizi wake na yeye akaja na watu wake kuongoza serikali yake japo wapo wachache wa Mzee Mwinyi na Mkapa waliokuwepo, hakuna aliempigia kelele au kumlaumu. Hayati Magufuli pia alipoingia alipanga safu yake aliyoona ndio bora na itakayomsaidia kuifikisha Tanzania ilipofika pia na yeye hakulaumiwa. Sasa ni zamu ya mama na yeye ana haki au uhuru wa kupanga au kuchagua anaowataka yeye ktk serikali yake kulingana na nguvu aliyopewa na katiba kwahiyo haina haja ya kumlaumu na kuona kwamba sio mzalendo au anamfanyia hujuma marehemu. Tumuombee dua mama atufikishe salama huko tunapoelekea maana yeye ndio dereva na sisi ni abiria wake.
Maisha ni kwa walio hai.Ni jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemea mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozwi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tuna ogopa hii serikali isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwende wa kimapinduzi wa magufuli.
Chama kimerudi kwa Wenye Chama kumbuka yeye alikaribishwa tu hakuwa na ushawishi wowote kwenye chamaNi jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemea mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozwi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tuna ogopa hii serikali isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwende wa kimapinduzi wa magufuli.
Ni jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemea mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.

Eti mtu mweusi ana safari refu kwani wewe mzungu? Pambafu wala huwezi tofautisha mwanamapinduzi na mpinga maendeleo.Hujui hata maana ya neno mwanamapinduzi?
Magufuli hajawahi hata kufikiriwa kuwa mwanamapinduzi acha ujinga wako!
Yaani watu wa aina ya kina sabaya bado wapo miongoni mwetu wa kuwatetea kweli?
Mtu mweusi ana safari ndefu sana aisee!
Mbona hujabambikiwa wewe hayo makosa????
Acha kuweweseka wewe! Walipigiwa Kura wote taahira wewe!Tofauti na hao marais wengine mama samia kaingia kwa kura za magufuli. Watu walimpigia magufuli kura kwa asilimia 84.6. Hii ni awamu ya magufuli sema mungu kampenda. Huyu mama kutuletea mambo za fikra zao za laisez faire upwani za kipigaji hakika tunaumia sana roho.
Na hii staili ndiyo inayotuchelewesha kwa sababu ya kukosa dira kama taifa....Ndugu yang kila nabii na kitabu chake. Mzee Mwinyi alipoingia madarakan aliwatema viongozi wengi waliokuwepo ktk serikali ya Nyerere, hakuna mtu aliesema Mwinyi kamhujumu Nyerere. Mkapa alipoingia hivyo hivyo aliwatema viongozi wengi waliokuwepo ktk serikali ya Mwinyi, hakuna aliemlaumu kwa hilo. Kikwete halikadhalika alifanya the same kama watangulizi wake na yeye akaja na watu wake kuongoza serikali yake japo wapo wachache wa Mzee Mwinyi na Mkapa waliokuwepo, hakuna aliempigia kelele au kumlaumu. Hayati Magufuli pia alipoingia alipanga safu yake aliyoona ndio bora na itakayomsaidia kuifikisha Tanzania ilipofika pia na yeye hakulaumiwa. Sasa ni zamu ya mama na yeye ana haki au uhuru wa kupanga au kuchagua anaowataka yeye ktk serikali yake kulingana na nguvu aliyopewa na katiba kwahiyo haina haja ya kumlaumu na kuona kwamba sio mzalendo au anamfanyia hujuma marehemu. Tumuombee dua mama atufikishe salama huko tunapoelekea maana yeye ndio dereva na sisi ni abiria wake.
Wewe au mm ndo huwezi tofautisha.U
Eti mtu mweusi ana safari refu kwani wewe mzungu? Pambafu wala huwezi tofautisha mwanamapinduzi na mpinga maendeleo.
Ni jambo la kusikitisha kuona mwendo wa kimapinduzi wa magufuli unasalitiwa na wanamapinduzi wanaangalia hawana cha kufanya. Ni hakika mrithi kikatiba wa magufuli sio mwanamapinduzi kwa hivyo tutegemea mwendo wa maendeleo wenye upendeleo kwa umma kusimama.
Makada waliyokua wanasimamia mapambano dhidi ya rushwa dhuluma kwa wanyonge ukwepaji wa kodi na maduhuri ya serikali sasa rais katoa taa kijani waburuzwe na kubambikiwa makosa kama wabakaji kusudi kuwaondoa kwenye nafasi zao.
Tumeona furaha ya mabwanyeye wa kimachame kote kutokana na jinsi sabaya alivyovunja mitandao yao ya uhalifu iliyokua na makao makuu hai. Kwa mfano wizi wa magari ili kuuzwa kama spear used. Utengenezaji fedha bandia ukwepaji kodi na kadhalika.
Hawajaishia hapo sasa wanadai kila kiongozwi mwenye ujasiri aina ya sabaya aburuzwe kotini. Wanataja majina na tuna ogopa hii serikali isiyo kua ya kimapinduzi ya chama cha mapinduzi huenda wakawa kwenye kazi ya kuvuruga mwende wa kimapinduzi wa magufuli.
Unamwelewesha mtu ambaye hana ubongo atakuelewa?Hata kile kinachoonekaba kweny cctv akiwa Arusha dukani kwa Waarabu amesingiziwa? kama yale ni Mapinduzi .......
Magufuli ndio alipigiwa kua rais sio huyo mashavu. Kama sio uzanzibari wake asingekua rais. Isitoshe hakua chaguo la magufuli ila la jkAcha kuweweseka wewe! Walipigiwa Kura wote taahira wewe!
Yaani kina sabaya wauwe watu, kupora, kubaka na kutesa watu Afu una advocate waachwe KISA mwanamapinduzi?
Unaakili tamiami kweli wewe?