Yule aliyeanzisha mahakama na awapeleke. Tumsikie anayewaita mafisadi leo kisha tumwombe awapeleke mahakamani.Mnyika, lissu na lema waanze kuwapeleka maana wao ndiyo walituambia kuwa lowasa ni fisadi na wanaushahidi 8years walituaminisha hvyo, sumaye alikubali kuhusu uuzwajwi wa nyumba za serikali na alikiri,
Mshangao umeisha. Ameelewa sasa. Kuanzia sasa atafanya kama walivyokuwa wakifanya wao. Somo limeeleweka. Hakuna kushangaa tena.Ndani ya zile week 8 za mwanzo tulidhani huyu kweli atakuwa mwiba hata kwa mafisadi wastaafu heee miezi 8 baadae amesema atafukia madhambi yao yote na atayabeba yeye....wao wapumzike kwa amani! Nadhani sasa zile mbwembwe zimeisha rasmi! Hawezi tena kushangaa.....maana alikuwa anashangaa kila kitu na kila amri za waliomtangulia!! Ndio mwisho wake sasa nae business as usual na auto pilot! Kwisha
Heri mimi sijasemaLike it or not hapa ni kuishiwa substantive argument. And Iam wondering, kwani kukaa kimya ni dhambi!!
Mbona hata wewe Magufuli anakulinda kuhakikisha unaishi kwa amani na utulivu kwani umefanya makosa.
Maajabu hayamuishi rais wetu Magufuli. Niliipoona mswada wa mahakama ya mafisadi unapelekwa bungeni nikajua kinachofuata ni kubadili kipengere cha katiba kuwaondolea kinga marais wastaafu ili mahakama ya mafisadi iwamulike Rais mstaafu mzee Mkapa na Mzee Kikwete.
Na hata nikaamini kwa kile kiapo cha wabunge wa CCM kupambana na mafisadi, wataweka hoja hiyo ya kubadili kipengere cha katiba ili ukweli ujulikane dhidi ya Mkapa na Kikwete. Ajabu Rais Magufuli anawakingia Kifua tena kwenye majukwaa kwamba atawalinda wasihofu. Kauli ya kusema atawalinda ni kuhalasha makosa yao.Unawezaje kumlinda mtu asiye na makosa?
Magufuli ndugu yangu dunia inakutazama jinsi unavyojichanga kwenye hii vita ya Mafisadi. Wewe mwenyewe umekuwa ukikili mizigo mizito ulioachiwa na Kikwete
Awawajibishe kwa lipi? Kwa kufuata ninyi maoni ya UKAWA?Nakuuliza tena hao UKAWA ndio wanaofanya Magufuli aogope kuwawajibisha Kikwete na Mpaka, ndio wanaohalalisha?
Kwani huyo Magufuli amegeuka kuwa Mungu? Acha kupotosha wewe Magufuli hana ulinzi wowote kwa mwanadamu. Ni Mungu tu mwenye uwezo huo. Usiwe kipofu wa akili weweMbona hata wewe Magufuli anakulinda kuhakikisha unaishi kwa amani na utulivu kwani umefanya makosa.
umesema ukweli kabisa mkuu,watanzania wote ni wafu hawajitambui shagharabagala kabisaWatanzania bhana Watu waliokufa.Tanzania ni nchi rahisi sana kutawala.Hata uwe zuzu vp unatawala.
Maajabu hayamuishi rais wetu Magufuli. Niliipoona mswada wa mahakama ya mafisadi unapelekwa bungeni nikajua kinachofuata ni kubadili kipengere cha katiba kuwaondolea kinga marais wastaafu ili mahakama ya mafisadi iwamulike Rais mstaafu mzee Mkapa na Mzee Kikwete.
Na hata nikaamini kwa kile kiapo cha wabunge wa CCM kupambana na mafisadi, wataweka hoja hiyo ya kubadili kipengere cha katiba ili ukweli ujulikane dhidi ya Mkapa na Kikwete. Ajabu Rais Magufuli anawakingia Kifua tena kwenye majukwaa kwamba atawalinda wasihofu. Kauli ya kusema atawalinda ni kuhalasha makosa yao.Unawezaje kumlinda mtu asiye na makosa?
Magufuli ndugu yangu dunia inakutazama jinsi unavyojichanga kwenye hii vita ya Mafisadi. Wewe mwenyewe umekuwa ukikili mizigo mizito ulioachiwa na Kikwete
Nashauri kwanza ulete hayo mashitaka yasiyo na shaka uone kama hatua hata za kubadili hiyo katiba haitafanyika.Ni mataifa mengi tu yamefanya hivo baada ya kupata mashitaka yasyo na shaka. yalete uoneMaajabu hayamuishi rais wetu Magufuli. Niliipoona mswada wa mahakama ya mafisadi unapelekwa bungeni nikajua kinachofuata ni kubadili kipengere cha katiba kuwaondolea kinga marais wastaafu ili mahakama ya mafisadi iwamulike Rais mstaafu mzee Mkapa na Mzee Kikwete.
Na hata nikaamini kwa kile kiapo cha wabunge wa CCM kupambana na mafisadi, wataweka hoja hiyo ya kubadili kipengere cha katiba ili ukweli ujulikane dhidi ya Mkapa na Kikwete. Ajabu Rais Magufuli anawakingia Kifua tena kwenye majukwaa kwamba atawalinda wasihofu. Kauli ya kusema atawalinda ni kuhalasha makosa yao.Unawezaje kumlinda mtu asiye na makosa?
Magufuli ndugu yangu dunia inakutazama jinsi unavyojichanga kwenye hii vita ya Mafisadi. Wewe mwenyewe umekuwa ukikili mizigo mizito ulioachiwa na Kikwete
kabla ya kusema lete,sikiliza kwanza kauli ya magufuli na katiba uone kama kuna uponyoNashauri kwanza ulete hayo mashitaka yasiyo na shaka uone kama hatua hata za kubadili hiyo katiba haitafanyika.Ni mataifa mengi tu yamefanya hivo baada ya kupata mashitaka yasyo na shaka. yalete uone