Toa argument yako kuonyesha udhaifu wa hoja yake, wenye akili wameelewa kwa maana ufisadi mkubwa umefanywa na waliokuwa madarakani na yeye ameapa kuwalinda. Nadhani anayetakiwa kukaa kimya ni wewe. Kwa nini wanafiki wanaojipendekeza mmekuwa wengi kiasi hiki?Like it or not hapa ni kuishiwa substantive argument. And Iam wondering, kwani kukaa kimya ni dhambi!!