Magufuli anapita Moshi kwa shida

Magufuli anapita Moshi kwa shida

Hata hiyo heshima hana tunadaiwa na wakandarasi wa ujenzi 5.3 Trilion na riba 124.8billion kutokana na maamuzi ya kukurupuka hana lolote ..
Aibu sana kwa Magufuli , hlf hapo tunadaiwa madeni makubwa kwaajili ya hizo barabara.
 

Attachments

  • IMG-20151007-WA0071.jpg
    IMG-20151007-WA0071.jpg
    73.7 KB · Views: 279
Burudani zinaendelea uwanja wa Mashujaa njoo mkuu ufurahie maana hawa Wasanii ni adimu sana Moshi

kwa jinsi diamond anavoshangiliwa hapa,lazima awe raisi wa Tanzania kupitia ccm mwaka huu
 
Moshi wanaelewa ni nini wafanye, hawahitaji kupoteza muda kwenda kuangalia wana muziki.
 
Huu ukanda wenu ndio unaosababisha tunasema ukiwa ni mkusanyiko wa genge la wahuni wanaotumbulia macho ya tamaa maliasili zetu.

Ikulu mtaishia kwenda kunywa chai tu kwa mwaliko wa rais na hivi Kikwete anamaliza muda wake mtakuwa mnapita njia tu.

Chadema mkasema ni chama cha kaskazini hamkuishia hapo mkasema chama cha kikristo mkaendelea hamtaki kura za kaskazini(Bulembo) sasà mmekuja kufanya fiesta na Magufuli au ni nini mmekuja kuchukua huku?
 
Vipi diamond na wenzake?natamani ningekuwepo.diamond moto jamani!
 
Taifa stars 2 malawi hawajapata kitu hongera taifa stars
 
...unaliwa; siku zote wewe ni gamba, acha utoto na kujitekenya, ukiwa ni familia yenu mliyofiwa na muwekezaji aliyekua anawalisha..

Unataka tutumie lugha chafu?
 
Chadema mkasema ni chama cha kaskazini hamkuishia hapo mkasema chama cha kikristo mkaendelea hamtaki kura za kaskazini(Bulembo) sasà mmekuja kufanya fiesta na Magufuli au ni nini mmekuja kuchukua huku?

attachment.php


tarehe 25 fanyeni hivi basi.
 
attachment.php


tarehe 25 fanyeni hivi basi.

Labda tuwe tumededi.
Mambo yote hivi.

Halafu hebu elezea unajisikiaje unavyowapa watu hela na full jezi zako kumbe hao watu hawako na wewe😀😀😀
 

Attachments

  • 1444225607450.jpg
    1444225607450.jpg
    29.6 KB · Views: 365
+49 159 04181859

👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿👆🏿
Hiyo ni number whatsapp ya "DW" ujerumani,wanafanya utafiti wa nani anakubalika urais Tanzania.

👇🏾👇🏾👇🏾save hiyo namba na tuma Neno LOWASSA.

Wenzetu wa chama cha mapinduzi CCM wanahamasishana kwa wingi kupiga kura kwa njia ya WhatsApp.
Hivyo ukiwa kama mwana UKAWA kura yako ni muhimu sana.
 
Moshi imefurika uwanja wa Mashujaa
12140616_10207667815842723_5532416867267683151_n.jpg

Boma ng'ombe kwa Mbowe
12118748_10207667067184007_5267679213368175651_n.jpg
 
Back
Top Bottom