Kwanini atupie picha wakati mkutano ulikua live hata wa Moshi uko live TBC na Star tv.
Wanafanya fujo sana, hakuna mtu anawataka kwenye baa yake.Majuzi alinunulia watu pombe chocho,jamaa walivyolewa wakaanza kusema peoplesssss!
Mabaunsa wanaleta shida!