Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,346
- 9,846
Wadau nimetokea maeneo ya stands kuu Moshi.
Barabara ya kati ya polisi central ilikuwa imefungwa ili kumuwezesha Magufuli apite Maeneo ya stand.
Ila Vijana wote stand na kinamama nasikia wakisema," Magufuli akipita hapa tunamzomea"
Naona Team yake imesanda wakaamua kupita chocho ili wafike kiwanjani!
Ni hayo tu kwa sasa!
Asante!