Huyo jamaa kaskazini angepapotezea kabisa,maana anakutana na aibu sana,hivi hana washauri?
yeah amechezewa oddside trick ila moshi hakuna wa kupanda lori utaona kitakachotokea huko
Huyo jamaa kaskazini angepapotezea kabisa,maana anakutana na aibu sana,hivi hana washauri?
Hivi kweli uko moshi au unaota wewe mtoa post,unatudanganya sisi tuliopo moshi,uzushi na uzandiku
Tupia kapicha bas mkuu,ka huko Arusha
Hapa boma kazomewa ile mbaya hadi police wamekuja kuokoa jahaz ndo jamaa wakapita
Ni kweli na video zipo.Acha uongoooooo!mbona watu hapa hawaoni hilo unalosema