Magufuli ana hali mbaya sana ya kisiasa tunapoelekea mwaka 2020. Ametumia nguvu nyingi kudhibiti vyama vya upinzani, bila kujua, kupambana na upinzani

Anaandika Dr.Christopher Cyrilo
Magufuli ana hali mbaya sana ya kisiasa tunapoelekea mwaka 2020. Ametumia nguvu nyingi kudhibiti vyama vya upinzani, bila kujua, kupambana na upinzani ndio kuiongezea nguvu. hakujua ndani ya chama chake kuna upinzani mkubwa zaidi dhidi yake.
Tayari makundi ya urais yameanza kujengwa ndani ya CCM, machache yenye nguvu. Wengine wapo ndani ya serikali na wanampa ushirikiano wote, wanasubiri wakati muafaka wampe 'surprise'.

Muda uliobaki ni mchache. Wakubwa waliompigania hadi kupata nafasi ya kugombea Urais, amewakorofisha.

Vijana waliompigania, hadi kupelekea Jaji Lubuva kutangaza kura za uongo ili Magufuli awe Rais, amewakorofisha.

Tayari kuna jitihada za kudunisha/kupunguza hadhi ya Magufuli. Suala la upotevu wa Trilioni 1.5 litaibuliwa upya. Na hili ni kaa la moto kwa Magufuli. Baadhi ya viongozi wa chama na serikali wataanza kutoa kauli zinazodunisha hadhi ya serikali, na kumpunguzia Magufuli Umaarufu.

Sasa amebaki na wasaka tonge, wasio na uzoefu kwenye masuala ya siasa, wala mbinu za ushindi. Na baadhi ya wasomi anaowapa mlo, wameanza kumtafutia majukwaa ya kumnadi kwa wananchi, mfano ni Kongamano la kumsifia lilopangwa kufanyika katika chuo cha Dsm.

Anachoweza Magufuli sasa ni kutumia vyombo vya dola ili abaki madarakani, na safari hii, vyombo vya dola vinaweza kutumika dhidi ya CCM yenyewe. Tutarajie misiba mingi ya wanasiasa kuliko ilivyokuwa katika uchaguzi wa 2015.

Ikumbukwe kuwa, Magufuli alikuwa mtu mdogo ndani ya CCM kabla ya kuwa Rais. Na hata baada ya kuwa M/kiti bado kuna mambo mengi hayafahamu ndani ya chama chao.Hadi leo bado anajifunza.

Salama yake ni vyombo vya dola. Atahitaji kukubali mambo yajiendee yenyewe au atumie mabavu ili kujihakikishia nafasi ya Urais wa awamu nyingine.

Chadema ina kazi kubwa moja, tunasema "Adui yako akiwa anakosea usimstue". Tunawaachia watoane damu, waangushane wenyewe, halafu atakapobaki mmoja wao, tunakula kichwa kiulaiani.
Kama yeye ana hali mbaya kisiasa ni nani ana hali nzuri kisiasa maana upinzani hasa chadema ndio wana hali mbaya zaidi KIPEUO cha INFINITE.
 
No comment
 
Unafiki pembeni, kwa Chadema bado inaweza isiwe rahisi kuiangusha CCM dhaifu (kama kweli itakuwa dhaifu). Udhaifu wa CCM sio lazima uwe uimara wa Chadema. Naamini wapo watu wengi ambao walivunjwa moyo na kukatishwa tamaa na kilichotokea 2015 pale Chedema/Ukawa walipomkaribisha na kumpa heshima ya kugombea urais mtu waliyetuambia kwa miaka kadhaa kuwa HAFAI. Kama wanadhani lile lilikuwa dogo wanakosea sana!
 
Mnakoseaga sana kuwastua mapema, wanapata muda wa kujipanga........ kabla ya 2015 mlisema kikwete chama kinamfia, pale mlimstua, akafanya ubandidu ambao unawakost watanzania...... sasa mmeanza kumstua jiwe, hatokubali asishinde 2020... atafanya ubandidu na lolote awezalo kwa uwezo wake apite..... ni bora muwe mnanyamaza na kupanga mambo kimya kimya...... hapo mtashinda kirahisi....... jifunzeni nini cha kusema na kwa wakati gani...... mnafeli sana
Wanaweza kufanya hivyo kama wana mipango na mbinu za maana ukiona watu wanapiga kelele sana ujue hawana plan A wala B.
 
CHADEMA siasa za mtandaoni hazita wafikisha kokote jengeni chama kwanza mwambieni Mbowe apeleke ruzuku kwenye ngazi ya Kata, vijiji na Wilayani asile peke yake. Pie mjenge Ofisi ya Kisasa ile ya Ufipa imechoka
 
Mimi kwa sasa nikiwaona Koboko arobaini na viongozi wa CCM awamu ya Tano naanza na viongozi awamu ya tano halafu koboko nawaacha warudi TANAPA .
 
Labda kwa mataira,wajinga,wachumia tumbo, masikini wa roho,wenye roho za koboko.Lkn si kwa MTU ambae ni intellectual, wajamaa wote upendwa na masikini na watu wenye upeo mdogo,thus wapatao tabu huwa ni wasomi na matajiri
Nakumbuka story kama hizi ziliwahi andikwa wakati ule tukielekea uchaguzi wa 2010 ili JK aingie kipindi cha pili. kilichotokea baada ya uchaguzi ule wote tunakijua.

Watu wanaandika story utadhani leo ndo wanaijua CCM.

My friends this dude is always the same and will remain the same.

Wapeni moyo upinzani huku upande mwingine Magufuli akiendelea kuteka mioyo ya watanzania wa hali ya chini
 
Ubabe na maneno mengi vinafaa tu pale unapokuwa una vision na watu wanaokuzunguka ni smart, tatizo kubwa alilonalo mkuu wetu ni ubabe na maneno mengi ila vision hana na vijana wanaomshangilia hamna kitu kichwani.
Magufuli anaenda kufeli kabisa kama hatakubali kubadilika kifkra.
Kumbuka watu wanatembea na ahadi zake hasa zile za kipato cha kati(maisha bora), sasa haya anayoyahubiri watu watayakataa mchana kweupe kwani yatawanufaisha wale wale anaotaka waishi kama mashetani.
Rais wetu alianza vizur sana lakini alipoanza kupambana na vivuli vyake na kukumbatia UNAFIKI(double standard) hapo ndio alipojikuta anapotea na kubaki na maneno ya kejeli na vitisho asijue hayajengi viwanda.
Bado nafasi anayo kurekebisha mambo kama ataona umuhimu wa kusikiliza kutoka pande zote na kuacha unafiki.
Tabia ya MTU ngozi,tuliwapa dhamana watuongoze,sio watutawale,wakapambane na maendeleo sio kupambana na watu.
 
Labda kwa mataira,wajinga,wachumia tumbo, masikini wa roho,wenye roho za koboko.Lkn si kwa MTU ambae ni intellectual, wajamaa wote upendwa na masikini na watu wenye upeo mdogo,thus wapatao tabu huwa ni wasomi na matajiri
Rais,hashauliki.kwenye vikao vya nec,rais ndo msemaji kuu na hakuna wa kumhoji,kwa hivyo udikteta upo ndani ya nec na matokeo yake anajadiliwa chini chini na wale wale wanakamati nec.kwa maana hiyo nec itamtoa madarakani jiwe 2020.
 
Back
Top Bottom