Magufuli ana hali mbaya sana ya kisiasa tunapoelekea mwaka 2020. Ametumia nguvu nyingi kudhibiti vyama vya upinzani, bila kujua, kupambana na upinzani

Wanaongelea uchaguzi leo wakati CCM inapambana na shida za wananchi
Kama hizi
Screenshot_20181024-232818.jpeg

Hapo aweso anakagua miradi ya maji
 
Anaandika Dr.Christopher Cyrilo
Magufuli ana hali mbaya sana ya kisiasa tunapoelekea mwaka 2020. Ametumia nguvu nyingi kudhibiti vyama vya upinzani, bila kujua, kupambana na upinzani ndio kuiongezea nguvu. hakujua ndani ya chama chake kuna upinzani mkubwa zaidi dhidi yake.
Tayari makundi ya urais yameanza kujengwa ndani ya CCM, machache yenye nguvu. Wengine wapo ndani ya serikali na wanampa ushirikiano wote, wanasubiri wakati muafaka wampe 'surprise'.

Muda uliobaki ni mchache. Wakubwa waliompigania hadi kupata nafasi ya kugombea Urais, amewakorofisha.

Vijana waliompigania, hadi kupelekea Jaji Lubuva kutangaza kura za uongo ili Magufuli awe Rais, amewakorofisha.

Tayari kuna jitihada za kudunisha/kupunguza hadhi ya Magufuli. Suala la upotevu wa Trilioni 1.5 litaibuliwa upya. Na hili ni kaa la moto kwa Magufuli. Baadhi ya viongozi wa chama na serikali wataanza kutoa kauli zinazodunisha hadhi ya serikali, na kumpunguzia Magufuli Umaarufu.

Sasa amebaki na wasaka tonge, wasio na uzoefu kwenye masuala ya siasa, wala mbinu za ushindi. Na baadhi ya wasomi anaowapa mlo, wameanza kumtafutia majukwaa ya kumnadi kwa wananchi, mfano ni Kongamano la kumsifia lilopangwa kufanyika katika chuo cha Dsm.

Anachoweza Magufuli sasa ni kutumia vyombo vya dola ili abaki madarakani, na safari hii, vyombo vya dola vinaweza kutumika dhidi ya CCM yenyewe. Tutarajie misiba mingi ya wanasiasa kuliko ilivyokuwa katika uchaguzi wa 2015.

Ikumbukwe kuwa, Magufuli alikuwa mtu mdogo ndani ya CCM kabla ya kuwa Rais. Na hata baada ya kuwa M/kiti bado kuna mambo mengi hayafahamu ndani ya chama chao.Hadi leo bado anajifunza.

Salama yake ni vyombo vya dola. Atahitaji kukubali mambo yajiendee yenyewe au atumie mabavu ili kujihakikishia nafasi ya Urais wa awamu nyingine.

Chadema ina kazi kubwa moja, tunasema "Adui yako akiwa anakosea usimstue". Tunawaachia watoane damu, waangushane wenyewe, halafu atakapobaki mmoja wao, tunakula kichwa kiulaiani.
Subirini tarehe 15 Nov wabunge 14 wa chadema watakapohamia CCM ndio mtaijua nguvu ya Magufuli!
 
“Sijaona sababu za msingi za kuhama kwao nawaona kama waganga njaa na si kukipenda chama. Nashauri turudi kwenye utaratibu wa enzi za Mwalimu Julius Nyerere ambako unapokuwa mwanachama kabla ya kupewa cheo, unapewa miaka miwili au mitatu ya kuchunguzwa

Ibrahim Kaduma kada wa ccm
 
Anaandika Dr.Christopher Cyrilo
Magufuli ana hali mbaya sana ya kisiasa tunapoelekea mwaka 2020. Ametumia nguvu nyingi kudhibiti vyama vya upinzani, bila kujua, kupambana na upinzani ndio kuiongezea nguvu. hakujua ndani ya chama chake kuna upinzani mkubwa zaidi dhidi yake.
Tayari makundi ya urais yameanza kujengwa ndani ya CCM, machache yenye nguvu. Wengine wapo ndani ya serikali na wanampa ushirikiano wote, wanasubiri wakati muafaka wampe 'surprise'.

Muda uliobaki ni mchache. Wakubwa waliompigania hadi kupata nafasi ya kugombea Urais, amewakorofisha.

Vijana waliompigania, hadi kupelekea Jaji Lubuva kutangaza kura za uongo ili Magufuli awe Rais, amewakorofisha.

Tayari kuna jitihada za kudunisha/kupunguza hadhi ya Magufuli. Suala la upotevu wa Trilioni 1.5 litaibuliwa upya. Na hili ni kaa la moto kwa Magufuli. Baadhi ya viongozi wa chama na serikali wataanza kutoa kauli zinazodunisha hadhi ya serikali, na kumpunguzia Magufuli Umaarufu.

Sasa amebaki na wasaka tonge, wasio na uzoefu kwenye masuala ya siasa, wala mbinu za ushindi. Na baadhi ya wasomi anaowapa mlo, wameanza kumtafutia majukwaa ya kumnadi kwa wananchi, mfano ni Kongamano la kumsifia lilopangwa kufanyika katika chuo cha Dsm.

Anachoweza Magufuli sasa ni kutumia vyombo vya dola ili abaki madarakani, na safari hii, vyombo vya dola vinaweza kutumika dhidi ya CCM yenyewe. Tutarajie misiba mingi ya wanasiasa kuliko ilivyokuwa katika uchaguzi wa 2015.

Ikumbukwe kuwa, Magufuli alikuwa mtu mdogo ndani ya CCM kabla ya kuwa Rais. Na hata baada ya kuwa M/kiti bado kuna mambo mengi hayafahamu ndani ya chama chao.Hadi leo bado anajifunza.

Salama yake ni vyombo vya dola. Atahitaji kukubali mambo yajiendee yenyewe au atumie mabavu ili kujihakikishia nafasi ya Urais wa awamu nyingine.

Chadema ina kazi kubwa moja, tunasema "Adui yako akiwa anakosea usimstue". Tunawaachia watoane damu, waangushane wenyewe, halafu atakapobaki mmoja wao, tunakula kichwa kiulaiani.

Mnakoseaga sana kuwastua mapema, wanapata muda wa kujipanga........ kabla ya 2015 mlisema kikwete chama kinamfia, pale mlimstua, akafanya ubandidu ambao unawakost watanzania...... sasa mmeanza kumstua jiwe, hatokubali asishinde 2020... atafanya ubandidu na lolote awezalo kwa uwezo wake apite..... ni bora muwe mnanyamaza na kupanga mambo kimya kimya...... hapo mtashinda kirahisi....... jifunzeni nini cha kusema na kwa wakati gani...... mnafeli sana
 
Back
Top Bottom