mzalendo15
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 1,361
- 1,054
Tembo anabebeshwa ubongo wa kuku
Pia inaweza kuwa 1+1=11. Teh teh teheeee
Tembo anabebeshwa ubongo wa kuku
Angalia usije ukapandishwa kizimbani kwa kumtusi mtukufu rais
Kikombe cha chai kwa mama lishe tsh 400,chai kavuMwananchi wa kawaida hanufaiki na utumbuaji majipu,kama sukari kilo ni 6000/= vipi huyu ataweza kumudu kunywa hata chai kikombe 1 aianze siku yake?sioni unafuu wowote katika maisha ya kawaida ya mtanzania,sijui labda huko mbele tuendako,kwenye daladala watu wameshaanza kuongea hovyo.
Mpumbavu na lofa ni yule anayefikiria siasa za kiitikadi muda wote badala ya kuona hoja za wenzake. Sasa hapa nani kamshambulia?Mlilipwa kumshambulia JPM kipindi cha kampeni mkashindwa,mlivyo na akili fupi mnadhani mtafanikiwa na mtu ameshakuwa Raisi??,kweli akili zenu fupi sana,ndo maana Mzee Mkapa aliwaita WAPUMBAVU NA MALOFA.,ndo maana Mlikuwa mkizungusha mikono kama wendawazimu,nimeanza kuelewa.
Ukweli utabaki Ukweli toa majibu ni kwanini?wewe ndiyo umechuja, trust me
Tihi tihiiii!! Unaruka stage ili kuwahi at the end unakuta work done ni zeroPia inaweza kuwa 1+1=11. Teh teh teheeee
chief ilikuwa ni utani huna haja ya kuwa na kashfaNimetaja jina la raisi wapi? Acha na wewe kuwa na akili sungura.
Tutafanyaje.Hapa kazi tuMwanzoni mwa utawala wake ilikuwa kila gazeti linamwandika yeye tena vizuri. Vijiwe vyote kuanzia vya kahawa, daladala, bar na maofisini story alikuwa ni yeye tena watu wakimsema kama malaika mkombozi.
Ghafla upepo ukabadilika, watumishi wakaanza kukosoa utumbuaji majipu, wafanyabiashara wakakosoa mbinyo wake kwenye kodi, wanasiasa wakahoji style yake ya uongozi. Wananchi wa kawaida wakanigwa na maisha magumu (ingawa hawa bado wamebakiza kaimani fulani). Vyombo vya habari wanalalamikia kuminywa uhuru wao.
Kiujumla upepo unavuma vibaya kwa JPM naye ameshakiri ugumu wa kiti chake mpaka akasema angejua asingegombea urais. Je, rais wetu amekosea wapi mpaka hali imegeuka mapema hivyo?
Umeongea ukweli mtupu.Kuna sababu kama 4 hivi naziona ndizo zinazomfanya achuje haraka hivi:
1. Kushindwa kwake kudili na majipu (wala rushwa wakubwa) na kubaki kuangaika na kesi za kuku. Hii imejionyesha kwa yeye kunywea kwenye swala la Lugumi, Wezi wa Escrow (kutekeleza maamuzi ya Bunge), kuendelea kukumbatia viongozi majizi, HSC na mambo kama hayo.
2. Kuendesha nchi pasipo kufuata utawala wa sheria. Anajiona yeye ndio ultimate decision maker wa kila kitu na hakuna anayejua zaidi yake. Sasa watu wameamua kumuacha afanye kazi zoootee peke yake.
3. Nchi kukosa muelekeo wa kiuchumi. Hii inapelekea kuwa na hali ngumu pasipo sababu. Bado anaangaika na kodi za machinga na mama Ntilie, wakati kule kwenye madini wanawaanchia wazungu wanachukua madhahabu na Almasi bureee kabisa. Hana vyanzo vipya vya kodi zaidi ya kumbana mwananchi wa kawaidi.
4. Kunyima Uhuru wa habari. Hii imejionyeshwa kupitia kukataa kuonyesha Bunge Live kwa sababu ya kuogopa wananchi kuona serikali yake ikikosolewa. Yeye anataka kusifiwa tu, ukimkosoa ni shida.
Ni kweli Mayu,huyu jamaa Hakujiandaa kuwa.kiongozi mkuu. Hii inadhihirisha kwa kukosa malengo,shabaha na afua za kuitoa nchi ilipifikia!_Iramba said:kutaka kukibeba chama cha mapinduzi,ndiyo gharama kubwa aliyeifanya mpaka kupoteza umaarufu wa kisiasa!