Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,072
Ingepunguza kwa kiasi kikubwa uhuru na mamlaka ya Rais kuteua watu katika nafasi mbalimbaliKwamba katiba ya warioba ingeweza kuzuia uteuzi wa kikada?

Ndo maana nchi yetu imedumaa,niambie vision ya nchi yetu ni ipi?Nchi inapata viongozi wake kwa kutegemea fikra za mtu mmoja,utaratibu huu wale tunaoenda kuwaomba misaada kila siku wameshauacha maana hauna tija,sisi hata tukisema tukopy tunacopy ujinga mazuri tunayaacha,si unakumbuka kuna mheshimiwa alienda uingereza zuri pekee aliloliona huko ni bunge lao kutokuoneshwa live,nchi itafika wapi kwa mambo haya? Nchi yenye watu wa akili za aina ya akina jingalao ndio wanaamini wachina watakuja kujenga viwanda nchini mwao ili kumaliza au kupunguza tatizo la ajira nchini kwao,kwamba china wao hawana tatizo la ajira ndo maana wanakuja kutusaidia na sisi.any way nisamehe bure kujadiriana na wewe ni kujishushia hadhi yangu bureThibitisha mawazo yako kwa data mkuu..kumbuka kuwa kwa watanzania waliopo wengi wao ni wanachama wa CCM toka enzi na enzi ingawa hawakuwa ni active politicians!
jingalao? Kwani kwako wewe mfumo au system ni nin?wewe ungekuwa ndugu yangu ningekuwa nimeshakuwekea sumu kwenye chakula maana inaonekana huna faida kabisaKwa hiyo tatizo ni katiba?sio mfumo?
Hii ni ajenda ya kipekee
ni mapema mno kusema amefuta mfumo, hebu jiulize amefutaje mfumo wakati utawala wakebumeanza kwa kuwaziba midomo wapinzani? unadhani tutaendelea kusikia maovu ya serikali ya ccm ambayo mengi yaliibuliwa na upinzani mfano hivi tungejua richmond,escrow bila upinzani? sasa kama uzuia mikutano ya upinzan tu unakuwa una ajenda gani ya siri? hivi wananchi wakiaminishwa kuwa unalenga kuficha maovu na udhaifu wako utakataa? bunge live ilipigwa marufuku tafakari kwa mapana,Wasalaam!
Kuna msemo maarufu hapa JF wa CCM ni ile ile wakimaanisha kuwa mfumo wa serikali na utendaji wake utabaki kuwa ule ule despite kwamba kuna Rais mpya aliyeingia madarakani tena kwa sera ambazo mwanzoni wapinzani walizisema kuwa ni sera zao.
Wengi wa wadau hasa hasa wa upinzani waliamini na kutuaminisha kuwa Magufuli ni sehemu ya mfumo uliokuwepo na angeendelea kuuabudu na kuutumia mfumo ule ule.
Hivi karibuni tumeshuhudua utumbuaji majipu ambao kwa sasa umeenda hatua ya pili na kuitwa uteuzi.
Tumeshuhudia mabadiliko makubwa haswa katika kutemwa kwa watendaji au waliokuwa na vyeo kuachwa na uteuliwa wapya kwa wingi wa zaidi ya asilimia 70.
Kwa maoni yangu ni wazi kuwa kile kilichoitwa mfumo au CCM ile ile kimemalizwa rasmi kwa utumbuaji uliokithiri na uteuzi mpya uliofanyika.
Swali langu linarudi kwetu wanaJF je bado tunahisi tatizo litakuwa ni mfumo au CCM ni ile ile? Au sasa msimamo wetu utabadilika na kuanzisha hoja mpya?
Mfumo au structure maana yake ni muundo. Muundo huo huanishwa kwenye katiba cha chama au serikali husika.Wasalaam!
Kuna msemo maarufu hapa JF wa CCM ni ile ile wakimaanisha kuwa mfumo wa serikali na utendaji wake utabaki kuwa ule ule despite kwamba kuna Rais mpya aliyeingia madarakani tena kwa sera ambazo mwanzoni wapinzani walizisema kuwa ni sera zao.
Wengi wa wadau hasa hasa wa upinzani waliamini na kutuaminisha kuwa Magufuli ni sehemu ya mfumo uliokuwepo na angeendelea kuuabudu na kuutumia mfumo ule ule.
Hivi karibuni tumeshuhudua utumbuaji majipu ambao kwa sasa umeenda hatua ya pili na kuitwa uteuzi.
Tumeshuhudia mabadiliko makubwa haswa katika kutemwa kwa watendaji au waliokuwa na vyeo kuachwa na uteuliwa wapya kwa wingi wa zaidi ya asilimia 70.
Kwa maoni yangu ni wazi kuwa kile kilichoitwa mfumo au CCM ile ile kimemalizwa rasmi kwa utumbuaji uliokithiri na uteuzi mpya uliofanyika.
Swali langu linarudi kwetu wanaJF je bado tunahisi tatizo litakuwa ni mfumo au CCM ni ile ile? Au sasa msimamo wetu utabadilika na kuanzisha hoja mpya?
Yes, bado ukweli utabaki hivyo. JPM amefumua timu ya JK, anajenga yake. Na utaratibu ni ule ule tu, wala hakuna kilichobadilika. Hata uteuzi umefuata misingi ile ile, ni sura pekee ndizo zimebadilishwa.
Hakuchukua. Tunamzungumzia huyo aliyechukua. Asije akaichukua nchi yetu akaitelekeza chigalihata mzee wenu angechukua nchi mambo yangekuwa ni yaleyale.
Mfumo umeanza kunyooka. Wanajf kwa sasa tutoe ushauri wa kuboresha tu. Mambo ya kulaumu tuache. Pia tutoe taarifa za majipu na wakwepa kodi na nchi ya neema ileee!Wasalaam!
Kuna msemo maarufu hapa JF wa CCM ni ile ile wakimaanisha kuwa mfumo wa serikali na utendaji wake utabaki kuwa ule ule despite kwamba kuna Rais mpya aliyeingia madarakani tena kwa sera ambazo mwanzoni wapinzani walizisema kuwa ni sera zao.
Wengi wa wadau hasa hasa wa upinzani waliamini na kutuaminisha kuwa Magufuli ni sehemu ya mfumo uliokuwepo na angeendelea kuuabudu na kuutumia mfumo ule ule.
Hivi karibuni tumeshuhudua utumbuaji majipu ambao kwa sasa umeenda hatua ya pili na kuitwa uteuzi.
Tumeshuhudia mabadiliko makubwa haswa katika kutemwa kwa watendaji au waliokuwa na vyeo kuachwa na uteuliwa wapya kwa wingi wa zaidi ya asilimia 70.
Kwa maoni yangu ni wazi kuwa kile kilichoitwa mfumo au CCM ile ile kimemalizwa rasmi kwa utumbuaji uliokithiri na uteuzi mpya uliofanyika.
Swali langu linarudi kwetu wanaJF je bado tunahisi tatizo litakuwa ni mfumo au CCM ni ile ile? Au sasa msimamo wetu utabadilika na kuanzisha hoja mpya?
Ujinga mtupu, ujinga mzigo. Toka lini Watanzania wengi wakawa wanachama wa vyama vya siasa? Unajua maana ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa? Tatizo lenu malimbukeni hamjui tofauti kati ya chama na serikali. Kwa akili zenu fupi mngependa kuona wafanya kazi wote serikalini ni wana CCM, siyo? Na bila shaka haingeishia serikalini tu, mngependa wafanya kazi wote wa mashirika ya Umma wawe wana CCM, siyo?Thibitisha mawazo yako kwa data mkuu..kumbuka kuwa kwa watanzania waliopo wengi wao ni wanachama wa CCM toka enzi na enzi ingawa hawakuwa ni active politicians!
Mfumo umeanza kunyooka. Wanajf kwa sasa tutoe ushauri wa kuboresha tu. Mambo ya kulaumu tuache. Pia tutoe taarifa za majipu na wakwepa kodi na nchi ya neema ileee!