Utakuwa umefanya jambo jema sanaNaona nazungumza na wale binadamu wa Magufuli, wale wanaolaza 'watoto'. wacha nifanye mambo mengine ya maana.

Nipe idadi ya wagombea ubunge wa CCM waliokosa na sasa wamekumbukwa katika vyeo vilivyotajwa ...nipe namba yao against number ya walioteuliwa...nitakuelewa sana!
Jingalao nasikitika kukutaarifu kuwa sasa "tatizo mfuno" ndiyo umetawazwa na kusimikwa rasmi Tanzania na Tanzania tuitakayo ndiyo imeota mbawa kiujumla. Ninaamini unazo za kutosha zaidi ya za mbayuwai rudi japo kidogo kwenye " Principles and Theories of collective governance in the democratic governments models........Utaona Tanzania ndiyo imeaga na kuagwa rasmi kwenye mfumo wezeshi wa maendeleo na ukuaji katika nyanja zote katika nchi.Wasalaam!
Kuna msemo maarufu hapa JF wa CCM ni ile ile wakimaanisha kuwa mfumo wa serikali na utendaji wake utabaki kuwa ule ule despite kwamba kuna Rais mpya aliyeingia madarakani tena kwa sera ambazo mwanzoni wapinzani walizisema kuwa ni sera zao.
Wengi wa wadau hasa hasa wa upinzani waliamini na kutuaminisha kuwa Magufuli ni sehemu ya mfumo uliokuwepo na angeendelea kuuabudu na kuutumia mfumo ule ule.
Hivi karibuni tumeshuhudua utumbuaji majipu ambao kwa sasa umeenda hatua ya pili na kuitwa uteuzi.
Tumeshuhudia mabadiliko makubwa haswa katika kutemwa kwa watendaji au waliokuwa na vyeo kuachwa na uteuliwa wapya kwa wingi wa zaidi ya asilimia 70.
Kwa maoni yangu ni wazi kuwa kile kilichoitwa mfumo au CCM ile ile kimemalizwa rasmi kwa utumbuaji uliokithiri na uteuzi mpya uliofanyika.
Swali langu linarudi kwetu wanaJF je bado tunahisi tatizo litakuwa ni mfumo au CCM ni ile ile? Au sasa msimamo wetu utabadilika na kuanzisha hoja mpya?
Hahahahaha kweli asiyejua maana haambiwa.........kwa hiyo hayo ndo mawazo yako unataka kutuaminisha poleee kweli fumbo mfumbie mjinga....Wasalaam!
Kuna msemo maarufu hapa JF wa CCM ni ile ile wakimaanisha kuwa mfumo wa serikali na utendaji wake utabaki kuwa ule ule despite kwamba kuna Rais mpya aliyeingia madarakani tena kwa sera ambazo mwanzoni wapinzani walizisema kuwa ni sera zao.
Wengi wa wadau hasa hasa wa upinzani waliamini na kutuaminisha kuwa Magufuli ni sehemu ya mfumo uliokuwepo na angeendelea kuuabudu na kuutumia mfumo ule ule.
Hivi karibuni tumeshuhudua utumbuaji majipu ambao kwa sasa umeenda hatua ya pili na kuitwa uteuzi.
Tumeshuhudia mabadiliko makubwa haswa katika kutemwa kwa watendaji au waliokuwa na vyeo kuachwa na uteuliwa wapya kwa wingi wa zaidi ya asilimia 70.
Kwa maoni yangu ni wazi kuwa kile kilichoitwa mfumo au CCM ile ile kimemalizwa rasmi kwa utumbuaji uliokithiri na uteuzi mpya uliofanyika.
Swali langu linarudi kwetu wanaJF je bado tunahisi tatizo litakuwa ni mfumo au CCM ni ile ile? Au sasa msimamo wetu utabadilika na kuanzisha hoja mpya?
changwa = ded masasiNipe idadi ya wagombea ubunge wa CCM waliokosa na sasa wamekumbukwa katika vyeo vilivyotajwa ...nipe namba yao against number ya walioteuliwa...nitakuelewa sana!