Abdul Mohammed
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 1,331
- 855
Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa
Hujaelewa nini habari ndiyo hiyo.Sijaelewa wazuia msafala na kudai wanataka Lowasa how?
Tutajie eneo ?
Maana apo naona pia makada wa CCM na pia vijana wa CDM kama kawaida yao kuuleta fujo kwenye kusanyiko LA CCM rejea Sugu kupita kwenye mkutano wa Shitambala zaidi ya Mara mbili.
Fujo hazijengi kaa chini sikiliza hoja ufanye maamuzi no wonder Mtikila husema wanakazia viroba na bhangi such that kistaarabu unawaponyoka kabisa
Mtanyooga mwaka huu, mlizoea ya zidumu fikra za m/kiti. To hell ccmUjinga na upumbavu mtupu?
Hivi unadhani na watu wa Magufuli wakianza kufanya hiki kinachofanywa na wajinfa wakisaidiana na wapumbavu kutakuwa na amani katika kampeni za uchaguzi.
Mshukuru watu wa upande wa Magufuli ni wastaarabu na wanafahamu dhana ya kukubali kutokubaliana katika msingi wa demokrasia.
Hujaelewa nini habari ndiyo hiyo.
Bavicha bana sasa hapo nguvu ya ipo wapi hao wahuni wachache wanaopiga kelele?Mbeya Leo asubuhi alipokuwa anaenda Mbarali Wananchi walizuia msafara wake na kumwambia wanataka mabadiliko na mtu wa kuyaleta mabadiliko ni Lowassa