Magufuli akomaa na wenye Malori

Magufuli akomaa na wenye Malori

Magufuli ni lazima alaumike na sio sheria MAANA SHERIA HIYO IKO SAHIHI KABISA, kwa sababu visingizio vyake si vya kweli. Anakomelea wasafirishaji ili adanganye wananchi wa kawaida na kuwaifitini ili waamini kuwa wasafirishaji ndio wanaoharibu barabara nae kama ndio mtetezi ndio amakuwa mkali kuwAZUIA WASIHARIBU, na kwa hivyo ajijengee umaaraufu wa kisiasa. Yote hiyo ni mambo ya 2015 TUUUU NA SI KINGINE. Uroho wa madarka umemjaa kiasi ambACHO anafanya lolote ikiwa hata kuuwa uchumi wa Nchi ili afike huko, Na HATAFIKA hata siku moja kuwa Rais lakini hii inatuzindua tuzidi kumwelewa kuwa hatufai maana hatumii busara. Hivi akuiua Nchi atatawala nini ??? Hao ndio wanaotaka uongozi wa lazima ili wapewe vimuli muli na watembee mno na kwa hivyo potelea mbali hata Wananchi wasipopata maisha wanayostahili yeye hajali.

Lawama zote ziwe kwake tu maana hata barabara viko chini ya viwango kutokana na sababu ajuazo yeye na wakandarasi waliojernga na kwa hivyo kukimbilia kupiga kelele na kulaumu wasafirishaji ni kufunika uozo wake. Wapare wana msemao kuwa katika msiba ukimwona mtu askilia sana basi huyo huyo ndio wa kumtilia shaka kuwa ndio muuwaji au mchawi nae magufuli anagangaya hivyo ili asigundulike. Nae magufuli ndiovyo hivyo tena, kelele nyingi ili afunike mambo yake. Kuthibitisha hayo mbona kazi ndogo ??? Afanyiwe uchunguzi kuona alipokuwa mbunge tu alikuwa ana nini na alipopata uwaziri ana nini na aonesha umma utajiri huo kautolea wapi kama si vitishio vya aina hiyo. Tulimwona alipokuwa waziri wa mifugo pia, mbona tunakumbuka sakata la samaki. Mbona majumba ya serikali aliyauza kwa bei ya kutupa lakini wenzake wakitaka kuuza magARI ya Serikali yaliochakaa anajifanya kulalama kuwa wanauza bei ya kutupa. Majumba alipouza bei ya kutupa yerye hakuona tatizo maana alifaidika yeye. HUYO NDIO WA KUJALI BARABARA ?
 
hasimamii sheria anasimamia barabara zisiharibike kwa kufuata sheria ya barabara inataka nini kifanyike.
Huyo makufuli wenu ni waziri wa barabara tuuuu? Mbona magorofa yanauwa watu kibaaao hatumsikii aking'aka? Mchumia tumbo tu huyo
 
Unaweza kuona watanzania tulivyokuwa na fikra finyu ya kufikiri.
Magufuli ni mtu mwelewa na anayeona mbali, Wenye malori ni kama malori yenyewa akili ndogo
Huyu baba anatetea kitu chenye manufaa na anajua sio siku nyingi shida ya barabara itarudi tena Tanzania. Kutoka Dar mapaka Mwanza itachukua wiki moja kama ilivyokuwa zamani. Barabara zilojengwa ni mikopo bado haijalipwa, wenye malori hawajali uharibifu wanaofanya.Jamani hizi barabara hazitadumu ka Magufuli akipuuzwa

Kumbuka vilevile barabara haina maana Kama hayo malori hayatapita. Nafikiri ni busara tu kabla hujatunga sheria au kanuni kufanya consultation na hasa Kama unabadili utaratibu uliokuwepo kisheria/kikanuni. Hii ndiyo kanuni ya utawala bora. Wenye malori wangekuwa na akili ndogo Kama malori ulivyosema wasingeendesha biashara hiyo.
 
Tokea hawa makandarasi kuwapa kampuni ndogo za nchini na jirani ubora wa kazi zao umekuwa chini. Ona kajima wa magomeni si wale wa kilwa road. Pia bBagamoyo road na wenzao estim wanachofanya ni kichekesho. Inabidi iwekwe wazi kabisa kuwa Mkandarasi mkuu asikaimishe kazi ya msingi kwa kusimamiwa na subcontract! Naona strabag nao wameanza kuingiza wahindi. Serikali lazima isimamie mikataba bila kujali maana siku ya mwisho barabara zinabaki Tanzania na si Japan au Ujerumani. Mbona huko kwao hawfanyi michezo hii?
 
Back
Top Bottom