rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,327
- 26,202
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa mahakama ya Tanzania imeamuru serikali kuwasilisha mahakamani zaidi ya bilioni 2 kama fidia ya samaki maarufu kama samaki wa Magufuli.Hii imetokana na serikali kushindwa kesi hiyo iliyounguruma kwa mda mrefu,Swali la Kizushi:Hivi kwa nini serikali "haishindagi" kesi kubwa kubwa
mwenye jazba ni mimi au wewe mi nimekuelezea kitu halisi wewe unanielezea vitu vya kufikirika yeye si yupo ndani ya baraza la mawaziri hizo sababu alitakiwa atoe mtu baki kwa kifupi magufuli angekuwa nchi nyingine zinazojua maana ya utawaka bora ama angejiondoa au kufukuzwa kwa kuitia hasara serikali na hizo pesa ni za walipa kodi wa kawaida kitendo cha kuendelea kumuachia hayo ndio matokeo yake
mbona tatizo la hasara ni kubwa ukitska kujua kaulizia gharama iliyotumika kuhifadhi hao samaki aliyochukuwa mhindi kabla ya ku dispose it is over 2 billionsJiulize maswali yafuatayo:-
1. Je hao Wafilipino, Wavietnam walikamatwa wakivua katika bahari yetu an hawakukamatwa?
2. Walikuwa na vibali au la?
3. Ushahidi wa samaki waliovuliwa ulikuwepo au la?
4. Hata meli iliyotumika kuvua ilionekana au la?
Sasa hapa wa kulaumiwa kwa serikali kushindwa kesi wakati mambo yako bayana ni Mh Dr John Pombe Magufuli au DPP au Mahakama? Jibu utalipata ukijibu maswali hayo!
Ni wale wale ambao tundu lisu husema serikali Ina majaji na wanasheria wabovu
Hii ni Tz kila Jambo kuna Upigaji ndani yake, hapo wajanja wameshajipenyeza kwenye hizo billion 2 ni mwendo na kujilia pesa kiulaini.Jiulize maswali yafuatayo:-
1. Je hao Wafilipino, Wavietnam walikamatwa wakivua katika bahari yetu an hawakukamatwa?
2. Walikuwa na vibali au la?
3. Ushahidi wa samaki waliovuliwa ulikuwepo au la?
4. Hata meli iliyotumika kuvua ilionekana au la?
Sasa hapa wa kulaumiwa kwa serikali kushindwa kesi wakati mambo yako bayana ni Mh Dr John Pombe Magufuli au DPP au Mahakama? Jibu utalipata ukijibu maswali hayo!
Si kwamba ni Vihiyo bali Serikali huwa hawalipi vizuri Matokeo yake huamua kuwasaidia upande wa pili kisha kupewa Mgao baada ya kushindwa kesi, Mkono mtupu haulambwiamini usiamini wanasheria wa serikali weng wao ni vihiyo.wengine wamepata kazi kwa kujuana hawana uwezo wa kutoa ushauri mzuri kwa watendaji matokeo yake watendaji wa serikali wanatoa maamuzi ambayo mwisho wake ni mbaya kama huo wa samaki wa magufuli!

mpwa one love,wanaokuchukia nawachukiaGameyakehiyo mpwa utqonq anasikiliziayakengapii
Magazeti ya leo yanaripoti kuwa mahakama ya Tanzania imeamuru serikali kuwasilisha mahakamani zaidi ya bilioni 2 kama fidia ya samaki maarufu kama samaki wa Magufuli.Hii imetokana na serikali kushindwa kesi hiyo iliyounguruma kwa mda mrefu,Swali la Kizushi:Hivi kwa nini serikali "haishindagi" kesi kubwa kubwa
Sasa mnaona? Ndio maana tunadai Mahakama ya Kadhi!Tanzania court is the second corrupt institution only after Tanzania Police.
Mahakama zenyewe hizi hizi zinazopokea kila kitu??
Mimi binafsi naamini kabisa kuna shida ya wanasheria wetu wa wizara kuwa legelege, mahakama kuwa corrupt na wafanyabiashara kutumia mianya ya corruption kufanikisha mambo yao... kibaya zaidi siku hizi wanasiasa hasa wa chama tawala wamekua ni madalali wakuu wa wafanyabiashara kwenye kununua haki
I find it difficult kwamba hii kesi bado ilikua inanguruma wakati wale jamaa walikua hawana vibali vya kuvua samaki kwenye maji ya Tanzania
Anyway, tutapigwa hadi tutie akili na tuamue kusimama kwa ajili ya Tanzania
Jiulize maswali yafuatayo:-
1. Je hao Wafilipino, Wavietnam walikamatwa wakivua katika bahari yetu an hawakukamatwa?
2. Walikuwa na vibali au la?
3. Ushahidi wa samaki waliovuliwa ulikuwepo au la?
4. Hata meli iliyotumika kuvua ilionekana au la?
Sasa hapa wa kulaumiwa kwa serikali kushindwa kesi wakati mambo yako bayana ni Mh Dr John Pombe Magufuli au DPP au Mahakama? Jibu utalipata ukijibu maswali hayo!
Mkuu si ajabu mshauri wa hiyo kampuni ni mzee wa vijisenti kwani hizo ndio dili zake
Gameyakehiyo mpwa utqonq anasikiliziayakengapii
amini usiamini wanasheria wa serikali weng wao ni vihiyo.wengine wamepata kazi kwa kujuana hawana uwezo wa kutoa ushauri mzuri kwa watendaji matokeo yake watendaji wa serikali wanatoa maamuzi ambayo mwisho wake ni mbaya kama huo wa samaki wa magufuli!