Magufuli, a Man of the People

Magufuli, a Man of the People

Vp hao waliokuwa wanakufa vipi sasa hivi hawafi?

Vip na wale vijana watano wa kariakoo waliopotea kipindi cha Christmas wamepatikana?

Vipi siku hizi ufukweni miili ya watu haiokotwi?

Nimekuuliza haya maswali hujanibu bali unadadalika na kurukaruka kama mahindi ya bisi.
Mbona unarudia rudia hoja?

Nimekuambia system ya magufuli bado iko ndani ya dollar na inaendelea ku operate, watu kama nyinyi ambao mnaona falsafa zake za kidikteta zilikuwa jambo la kawaida ndio mnaoedeleza huo ukatiri
 
System ya Magu kwani enzi ya Kikwete watu waliokuwa hawapotei?

Walikuwa hawaokotwi ufukweni?

Kwani kutekwa kwa Dr Ulimboka, kupigwa, kung'olewa kucha na meno bila ganzi ilitokea awamu ya Magufuli?
 
Unyama
ukatili
kupotea kwa watu
uporaji wa mali za watu
ukabila
ukanda
upendeleo wa kikabila na uonevu uliopindukia!
mnaomhusudu mfuateni alikoenda msitukere
 
Jiwe violated the oath of office "I will obey , preserve, protect and defend this constitution of Tanzania , as by law established and all other laws of republic and that I will protect and uphold , sovereignty , integrity and dignity of the people of URT"

He rigged the general election in uprecedented margin, revoking NGO's licenses, banning of opposition rallies , unlawful detention of opposition party leaders, muzzling of civic space,

The big deal here and the worst memory for his tyranic regime was the 2020 general election which was marred with a lot of irregularities such as restrictions on agents of political parties to access polling stations, multiple voting, pre-ticking of ballots, and widespread blocking of social media and the deployment of the TPDF soldiers throughout the country.
My friend, there was no election in 2020! The least we can say and forget everything about this man is that he was not only intellectually barren but also very sick mentally. Let us now as a country focus firstly on how to prevent such sick people from holding high office in future. Secondly let us seek to put up mechanism of checks and balances in governance system.
 
System ya Magu kwani enzi ya Kikwete watu waliokuwa hawapotei?

Walikuwa hawaokotwi ufukweni?

Kwani kutekwa kwa Dr Ulimboka, kupigwa, kung'olewa kucha na meno bila ganzi ilitokea awamu ya Magufuli?
Hilo ni tukio moja katika miaka kumi ya kikwete, wakati kwa magu ilikuwa ni series of events

Yani kiufupi tukisema tuangalie errors za utawala wa kikwete katika miaka yote hiyo kumi na tuangalie erros za magufuli katika miaka mitatu tu ya mwanzo utaona magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna gani

Na hata yeye alishatoa kauli zinazodhihirisha kuwa yeye ni responsible kwa hayo yote yanayofanyika, zipo nukuu ambazo alikuwa akisema maneno ambayo yalikuwa yana indicate matukio yaliyokuwa yanatokea
 
My friend, there was no election in 2020! The least we can say and forget everything about this man is that he was not only intellectually barren but also very sick mentally. Let us now as a country focus firstly on how to prevent such sick people from holding high office in future. Secondly let us seek to put up mechanism of checks and balances in governance system.
Tell us why you say he was sick mentally,and not you who is sick mentally.
 
Hilo ni tukio moja katika miaka kumi ya kikwete, wakati kwa magu ilikuwa ni series of events

Yani kiufupi tukisema tuangalie errors za utawala wa kikwete katika miaka yote hiyo kumi na tuangalie erros za magufuli katika miaka mitatu tu ya mwanzo utaona magufuli alikuwa ni kiongozi wa namna gani

Na hata yeye alishatoa kauli zinazodhihirisha kuwa yeye ni responsible kwa hayo yote yanayofanyika, zipo nukuu ambazo alikuwa akisema maneno ambayo yalikuwa yana indicate matukio yaliyokuwa yanatokea
Kauli zipi?

Kikwete ulikuwa husikii sababu bado mitandao ya kijamii ilikuwa haina nguvu, kama ungekuwa msomaji wa magazeti kama Mwanahalisi au Raia Mwema walikuwa wanaongelea sana kupotea kwa watu na watu kupatikana ufukweni.

Hivi kauli hii ya Nyerere "Tunakuapisha ili usitusaliti........." unajua ina maana gani?

Halafu unasema yalikuwa machache, vipi la Dr Mwakyembe kulishwa sumu, ambayo ili athiri ngozi yake, vipi Kubenea kumwagiwa tindikali bado kuna duka moja la kuuza nguo, lilikuwa maeneo ya Msimbazi boss wake alimwagiwa tindikali au ulikuwa bado hujazaliwa.
 
Mkuu kwa nini unataka kutulazimisha tuungane na wewe katika chuki zako? If you hate him just do it in your ways. And let those who love him do it their way.
Above all, ignorance is bliss so watu wanapokuwa katika kile wewe unadhani ni ujinga let them enjoy their ignorance.
Usije ukadhani kwa kuwa wewe una chuki zako basi ndiyo unaakili sana. Yawezekana wanaompenda ni wajinga ila wewe unayemchukia ukawa ni mpumbavu (no offence)
Kutompenda mtu siyo chuki, sijajua wewe umepajua vp kuwa mimi nina chuki. Ndiyo mana nikasema hao wajinga wampende wao na inatosha. Wasitake kutuchanganya na sisi. Kama mtu anaona fahari kuitwa mnyonge huyo anatofauti gani na mtu mjinga?
 
Kauli zipi?

Kikwete ulikuwa husikii sababu bado mitandao ya kijamii ilikuwa haina nguvu, kama ungekuwa msomaji wa magazeti kama Mwanahalisi au Raia Mwema walikuwa wanaongelea sana kupotea kwa watu na watu kupatikana ufukweni.

Hivi kauli hii ya Nyerere "Tunakuapisha ili usitusaliti........." unajua ina maana gani?

Halafu unasema yalikuwa machache, vipi la Dr Mwakyembe kulishwa sumu, ambayo ili athiri ngozi yake, vipi Kubenea kumwagiwa tindikali bado kuna duka moja la kuuza nguo, lilikuwa maeneo ya Msimbazi boss wake alimwagiwa tindikali au ulikuwa bado hujazaliwa.
Ben Saanane alitishwa na alitoa taarifa Kituo cha Polisi Tabata na bado akapotea, Lissu alitoa taarifa kwamba anatafutwa na kutishiwa na bado akapigwa risasi. Maiti zaidi ya 17 zimeokotwa Coco Beach

Magufuli kwenye utawala wake alisema tajiri anaweza kufanywa chochote, na punde tukasikia MO ametekwa

Magufuli alisema msijidanganye hamna uhuru huo wa kuongea kama mtajikita kukosoa, na kweli siku zilizofuata tuaksikia magazeti fulani yamefungiwa, na kuweka msisitizo wa kauli yake hakuishia kwa wanasiasa tu waliomkosoa bali hadi wasanii mfano kina Roma walivyo tekwa
 
Kwa kwakuwa kaongea ndio kafanya ila wale wasio ongea ndio hawajafanya si ndicho unacho maanisha?

Kwa hiyo mama alivyo sema ukinizingua na kuzingua, kwa let say chochote kitakacho tokea sasa kwa mtizamo wako Mama Samia atakuwa kahusika si una maanisha hivyo?
 
We know why you are so angry with JPM.

Aidha alikuwajibisha kwa uovu wako,ni kuadi wa mabeberu au you are just evil,because evil people do not like good people.

Anyway,ninyi ni warriors tu wa mtandaoni,hamtabadilisha msimamo wa Watanzania kwamba JPM is the President Tanzania has ever had.
Na Magufuli alikuwa anawaogopa sana worriors wa mtandaoni kuliko wa mtaani. Kumbuka alivyomtafuta Kigogo2014 kwa mabilioni. Rot in hell Magufuli
 
Mimi sio Msukuma,ni Mpare,and what you call Sukuma gang does not even exist,it is a myth aimed at discrediting the good which Magufuli has does for this nation for your selfish and evil ambitions.Shame on you.
Wewe ni Sukuma gang, hata kama ni mpare. Kaongee na mama vizuri, huwezi jua mambo ya wanawake
 
Na Magufuli alikuwa anawaogopa sana worriors wa mtandaoni kuliko wa mtaani. Kumbuka alivyomtafuta Kigogo2014 kwa mabilioni. Rot in hell Magufuli
Stuxnet,wewe nawe you will rot in hell,sasa kwa nini ufurahie kifo cha mwenzio,mbona it's just a matter of time.Labda ni kesho,unajuaje?
 
Back
Top Bottom