Mkuu kwani tunachakua rais wa nchi au mwenyekiti wa ccm?hayo mabadiriko ndani ya ccm sisi yanatuhusu nini,why msiende kupeana sumu kwanza ili 2020 kunguni wakishaisha ndo mje kuomba kura zetu.Mabadiliko anayoyazuungumzia Magufulia ni kuanzia ndani ya chama hadi ngai ya nchi, Kma hua unamsikiliza kwa makini, hua anasema kua kuna watu wachache wanasababisha wananchi wanakichukia chamam na kuichukia serakali, sasa hawa ambao huwa ananwaita kunguni ndio wakutafutwa na kuchomwa moto ili amambo yakae vizuri ndani ya chama, na katika nchi mabadiliko hayo mfano, anasema serikali mtumishi akiharibu hua nanahamishwa kupelekwa sehemu nyingine ila kwake hayo mamabo yatakua hamna, ukiharibu sehemu moja ndio bas tena, kingine maswala ya uzoefu kwa wanaoomba kazi utakua hamna...haya ni baadhi tu ya mabadiliko ambayo anayazungumzia
Ndiyo mkuu,chama na mfumo wake wa utawala,sera na namna mpya ya kufikirianaimba wimbo asiyoujua watu wanapotaka mabadiliko maana yake wanataka mabadiliko ya chama yeye anadhani watu wanataka mabadiliko ya mtu chama kilekile na sera zilezile
Habari ya kutwa wanajamvi,Nisameheni bure kwa kupost uzi huu usiku wa manane,coz nilikuwa najaribu kuwaza kwa sauti juu ya mabadiriko anayoyahubiri mr.hapa kazi tu bila majibu.
Nakumbuka mwaka jana ccm kwa ujumla wao waliyakataa mabadiriko ya mfumo wetu wa utawala na wa namna ya kuwapata viongozi wa Taifa letu,walikataa mabadiriko ya mfumo wa kuongeza uwajibikaji serikalini na mfumo wa kushughulikia viongozi wazembe na wavivu,walikataa mfumo wa kudhibiti wizi na ufisadi wa mali za umma kama ilivyokuwa imependekezwa na watanzania kupitia rasimu ya pili ya katiba mpya.
Leo hii magufuli anakuja na sera ya mabadiriko ni mabadiriko gani hayo?
Nakumbuka -Katiba mpya haikuwa agenda ya ccm na ccm ilibojaribu tu kubadirishia gia agani ilishindwa vibaya sana kuachieve
Mabadiriko si agenda ya ccm coz imeshayakataa ila inajaribu kubadirishia gia angani. je itaweza?
Hakika haitaweza.Magufuli acha kudanganya umma,please mwogope MUNGU
Shikamoo mwalimu!Thanks= mabadiliko
= mabadiliko
= mabadiliko
= mabadiliko
= mabadiliko
= kubadilishia
= Mabadiliko
Halafu saa tano za usiku si "usiku wa manane".