Magomeni: Wadada wapigana kisa upatu

Ila dar kuna watoto wengi wana miguu ya bia kiuno cha nyigu. Sijui huwa wanaumbwa saa ngapi hawa viumbe.
 
Wanaendaje kupigana na suluari wangavaa kanga bila pichu ili ngumi ziingie vizuri
 
Video itaamsha hisia nyingine tena kwa wengine maana nimemsikia mtu anasema kwanini asimchanie hicho kisuruali, hii inaashiria jambo tofauti
Kwa heshima na taadhima mkuu niwekee hiyo video hata kwa pm .....😋😋😋😋
Nataka nifanye ka-utafiti😂😂
 
Huyo bonge Tshirt nyeupe mbona hawaamulii wenzake wanagaragazana yeye yupo tu kasimama kijingajinga!
 
Huyo bonge Tshirt nyeupe mbona hawaamulii wenzake wanagaragazana yeye yupo tu kasimama kijingajinga!


Inawezekama anatokea pale Magomeni usalama (chapa ya Jogoo) na huyo mwenye kisuruali anatokea Kinondoni, na kuna mwingine hapo Buguruni, wewe tafiti huyo wa kulia kwa bonge anatokea mtaa gani
 
Hahaha huyo dada mwenye yellow cloth

Anavyomkaba mwenzake [emoji38]

Looh
 
Inawezekama anatokea pale Magomeni usalama (chapa ya Jogoo) na huyo mwenye kisuruali anatokea Kinondoni, na kuna mwingine hapo Buguruni, wewe tafiti huyo wa kulia kwa bonge anatokea mtaa gani
Huyu kati ya Tandale au M/nyamala.
 
Next time nipigie simu hii elfu ishirini nayotaka kuiteketeza leo jion kwene bia mitaa yangu ya kujidai ningemsaidia tu asipigane ngumi, 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nadhani nyuma ya pazia kuna ziada
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…