Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 58,636
- 220,353
#MAGOMENI: WADADA WAPIGANA KISA UPATU
lengo la michezo ya upatu ni kuongeza kipato au kukuza biashara ya muhusika lakini mmoja wa wanachama anapotaka kuleta ujanja ujanja na kukwamisha malengo ya wengine kinachofatia huwa ni kipigo.
Tukio Hili Limetokea maeneo ya Magomeni ambapo Dada Mmoja inasemekana Hakutoa pesa ya upatu ya mwenzie ndipo ugomvi huo ulizuka na kuzua taflani katika wakazi wa maeneo hayo.