kwa hiyo we umeolewa na kutembea ila bado hujastaarabika,hayo mambo mwambie mwandishi maggid sio mimi,au kwa kukusaidia omba talaka ili uonekane hujui kitu ili tuanze upyasikuwa najua kumbe ukioa au kuolewa na mzungu unastaarabika,tembea uone:coffee:
walikua kituo ki1 baaada ya bro kuchukuliwa na mzungu dogo akacover the place.................majungu hayo,na yule mdogo wake naye alilelewa na nani:sick:
Maggid Mjengwa is extremely chameleonic. Ni Maggid huyu huyu wakati wa campaign alikua anatumia blog yake kumpigia campaign JK wazi wazi. Na hata yeye mwenyewe alitoa msimamo wake kwamba ni kwa nn atampigia JK kura. Ni huyo huyo baada ya matokeo alianza usifia upinzani kwa kazi nzuri. Ni huyu huyu Maggid baada ya mauaji ya kule kwao Mbarali. Ukimuuliza chanzo cha mauaji hayo na ya Arusha ni nini atakuambia ni AR ni upinzani, mbeya ni CCM na serikali yake. Ukimuuliza ni kwanini unatumia nafasi yako kuwahadaa watu waipigie CCM hakupi jina. Angalia jinsi anavyojadili kuhusiana na maozo ya Richmond, Dowans, etc. The man is a pitiable CCM puppet who's using the pen kudhoofisha upinzani. It's too late. He needs to get back to school and acquaint himself with the international politics to establish the truth behind wabunge kutoka nje. Maggid needs to know that changes are bound to come, come what may.
Hamumtendei haki Maggid nadhani yeye ni mtu anaeona kwa jicho la tatu kuna vitu vingine haihitaji kufanya ili kuwafurahisha watu fulani, napenda watu wanaochambua mambo na adhari zake za muda mfupi na muda mrefu hizi analysis huwasaidia watu kujua tulipo na tuendako.
Usife moyo Magid nice article.
Jamani kuna mtu ana CV ya huyu jamaa aiweke hapa.Tusije tukawa tunamjadiri mtu ambaye hana hata hadhi ya kujadiliwa hapa JF (Great Thinkers). Kwanza mtu mwenyewe kashepu kake anaonekana alikosa lishe wakati wa utoto na ujana wake. Isije ikawa uelewa wake mdogo ndio sababu anaandika hizo pumba, harafu sisi tunamjadili hapa mtu ambaye ubongo wake hauna afya kwa kusosa lishe utotoni. Amshukuru huyo mzungu anayemlea kwetu Mwakaleli ukiwa na kimwili kama cha Magid huwezi kupata mke.Mbegu hafifu kama ya Majid zinaogopwa kuchafua ukoo
Makindi, yote uliyoyaandika ni UONGO MTUPU, umeyaandika bila chembe ya haya. Hata hivyo, naheshimu uhuru wako wa kujieleza. Umefika mahali unaandika kuwa nilitoa msimamo kuwa ni kwa nini nitampigia kura JK! Kama una ushahidi wa hilo uweke hapa hadharani, ukishindwa useme tu samahani kama una chembe za uungwana.
Niliyoyaandika ni maoni yangu. Niliandika nikijua nachochea mjadala na si wote watakaokubaliana nami. Ni kawaida, mie mpenzi wa Simba, kuna hata Simba wenzangu wanaonichukia.
Mwaka juzi kulikuwa na sakata la mchezaji Athumani Iddi kufungiwa na TFF kucheza soka kwa vile Simba hawakumpa kibali cha uhamisho. Simba walisema wako tayari kumwona Athumani Idi akiuza ndimu kuliko kumruhusu kurudi Yanga. Niliandika makala kwenye gazeti la Sayari kumtetea Athumani Iddi. Niliweka bayana kuwa, kuwa nilikuwa mpenzi wa Simba lakini kwa lile nilisimama upande wa Athumani Iddi.
Siku ile nilipigiwa simu nyingi na kutumiwa sms za WanaSimba wenzangu wenye hasira. Ikafika hata mmoja wa viongozi wa Simba alinipigia na kuniambia; " Maggid wewe si Simba mwenzetu, ni kondoo uliyevaa ngozi ya Simba!"
Na juzi usiku nimeshambuliwa vikali na Redio Imaan ya Morogoro. Nimeambiwa maneno mengi ikiwamo kuwa mimi mnafiki, mchochezi , na kuwa natumiwa kupambana na Waislamu. Kisa? Niliandika kwenye Raia Mwema kuwa redio hiyo inachochea uhasama kati ya Wakristo na Waislamu!
Tatizo langu ni kuandika mawazo yangu kwa uhuru. Ndio maana naamini, kuwa kuna CHADEMA wanonichukia, lakini kuna wanaonipenda pia. Hivyo hivyo kwa CCM, CUF, Waislamu, Wakristo na wengineo. Lakini naamini pia, kwa jinsi nilivyo, wote hao wanaweza pia kuniheshimu. Ni matumaini yangu.
TUNAKUJUA WEWE NI MAJJID MJENGWA NA TUTAKUTAFUTA KWA MAAZUNGUMZO LEO JIONI
pale pale ulipokaa jana
Hamumtendei haki Maggid nadhani yeye ni mtu anaeona kwa jicho la tatu kuna vitu vingine haihitaji kufanya ili kuwafurahisha watu fulani, napenda watu wanaochambua mambo na adhari zake za muda mfupi na muda mrefu hizi analysis huwasaidia watu kujua tulipo na tuendako.
Usife moyo Magid nice article.
Mdogo wangu MAJIDI,
Unaonekana kupingwa na kila fora ya kitanzania sasa ni mawili...aidha wewe ni tatizo....au watanzania wenzako tu tatizo....huwezi kupingwa kwa kila hoja utoayo...huko nyuma nilipata kukwa mbia kuwa makala zako unazifanya ziwe authoritative kuliko convincing....inabidi ujifanyie self assessment otherwise you will keep on getting more critics
Wewe kama nani......................? nadhani hujui unachokisema nakustahi sana kwa maana mimi watu wananifahamu na sina ID ya bandia kama yako hii inaonyesha mimi nina uthubutu na wewe na wenzio hamna!
wewe ni cuf tunajua,hujawahi kuikubali chadema,unajua kuwa cuf imewatia aibu nyinyi wafuasi wake kwa usaliti wao lakini mnajikaza kiaina...
Wewe kama nani......................? nadhani hujui unachokisema nakustahi sana kwa maana mimi watu wananifahamu na sina ID ya bandia kama yako hii inaonyesha mimi nina uthubutu na wewe na wenzio hamna!
na kwasababu ya hiyo id yako ya kweli ndio maana unaitetea ccm/cuf kila siku maana you are a coward ukiwaponda watakutia nguvuni,...lakini unasound kimjengwamjengwa...afu umekaakicufcuf
Mkuu hutamtendea haki Mggid kwa kumweleza huo ujembe wako unaobeba watu "
Maggid mdogo wangu tuandikie makala za kukisifu chama chetu ili tukupambe kwa nyimbo, mapambio na thanks za kumwaga, na wala hatutakuwa na tatizo na wewe tutakusifia sana na kukutukuza na phd tutakubandika! Huo utakuwa ni uvivu wa kufikiria! kwani sisi sote hafikirii anachofikiria mwenyekiti wa chama kila mmoja anafikra zake na lazima aziwache ziwe huru!!!!
- Registered Members: 31,177" wa JF kwenye population ya watu zaidi ya million 43! Nadhani kwa kukusaidia ni bora umwambie Maggid
Naomba soma comment zangu kwenye hizi threads kwanza na nyingine za kukiasa CUF zinakuja halafu utaniambia huo ukafu wangu na usisiemu wangu unatoka wapi?
Lowasa na visebusebu vyetu.................
A Parody of Presidential Eloquence - Kejeli ya Umahiri wa Rais katika Lugha
Mkuu hutamtendea haki Mggid kwa kumweleza huo ujembe wako unaobeba watu "
Maggid mdogo wangu tuandikie makala za kukisifu chama chetu ili tukupambe kwa nyimbo, mapambio na thanks za kumwaga, na wala hatutakuwa na tatizo na wewe tutakusifia sana na kukutukuza na phd tutakubandika! Huo utakuwa ni uvivu wa kufikiria! kwani sisi sote hafikirii anachofikiria mwenyekiti wa chama kila mmoja anafikra zake na lazima aziwache ziwe huru!!!!
- Registered Members: 31,177" wa JF kwenye population ya watu zaidi ya million 43! Nadhani kwa kukusaidia ni bora umwambie Maggid
Pole mkuu na mawazo mgando(RED):A S thumbs_down: what about viewers/quests??? siku zote quests wanazidi registered members