Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,308
Wewe ni Mtanzania?
Mnyarwanda....................
Wewe ni Mtanzania?
Makindi, yote uliyoyaandika ni UONGO MTUPU, umeyaandika bila chembe ya haya. Hata hivyo, naheshimu uhuru wako wa kujieleza. Umefika mahali unaandika kuwa nilitoa msimamo kuwa ni kwa nini nitampigia kura JK! Kama una ushahidi wa hilo uweke hapa hadharani, ukishindwa useme tu samahani kama una chembe za uungwana.
Niliyoyaandika ni maoni yangu. Niliandika nikijua nachochea mjadala na si wote watakaokubaliana nami. Ni kawaida, mie mpenzi wa Simba, kuna hata Simba wenzangu wanaonichukia.
Mwaka juzi kulikuwa na sakata la mchezaji Athumani Iddi kufungiwa na TFF kucheza soka kwa vile Simba hawakumpa kibali cha uhamisho. Simba walisema wako tayari kumwona Athumani Idi akiuza ndimu kuliko kumruhusu kurudi Yanga. Niliandika makala kwenye gazeti la Sayari kumtetea Athumani Iddi. Niliweka bayana kuwa, kuwa nilikuwa mpenzi wa Simba lakini kwa lile nilisimama upande wa Athumani Iddi.
Siku ile nilipigiwa simu nyingi na kutumiwa sms za WanaSimba wenzangu wenye hasira. Ikafika hata mmoja wa viongozi wa Simba alinipigia na kuniambia; " Maggid wewe si Simba mwenzetu, ni kondoo uliyevaa ngozi ya Simba!"
Na juzi usiku nimeshambuliwa vikali na Redio Imaan ya Morogoro. Nimeambiwa maneno mengi ikiwamo kuwa mimi mnafiki, mchochezi , na kuwa natumiwa kupambana na Waislamu. Kisa? Niliandika kwenye Raia Mwema kuwa redio hiyo inachochea uhasama kati ya Wakristo na Waislamu!
Tatizo langu ni kuandika mawazo yangu kwa uhuru. Ndio maana naamini, kuwa kuna CHADEMA wanonichukia, lakini kuna wanaonipenda pia. Hivyo hivyo kwa CCM, CUF, Waislamu, Wakristo na wengineo. Lakini naamini pia, kwa jinsi nilivyo, wote hao wanaweza pia kuniheshimu. Ni matumaini yangu.
Mnyarwanda....................
Maggid na Shossi,
Tatizo la wengi humu JF ni kwamba ni wapenzi damu wa Chadema na kukiwa na criticism zenye kuwaumbua Chadema hun'gaka na kutoa maneno ya kejeli ili kumdiscredit yule aliyetoa mada aonekane mpuuzi. Hii ni dalili kuwa either mtoa hoja amewaambia ukweli au mna chuki na mtoa hoja. Sasa binafsi mtazamo ambao ni bias huwa siupendi maana huchangia kupelekea kwenye bias conclusion na wrong interpretation. Chadema nawaambia tena fikra za mwenyekiti zidumu ni mfumo hauna tofauti na CCM na hilo litapelekea chama kufa na kama sio kupotea kabisa. Ni vizuri mkajichunguza na kujipima kwani hata wale waliokuwa wanawaunga mkono kwa mbali hawatakuungeni mkono tena 2015. Waswahili hunena ukiumwa na nyoka hata nyasi zikitikisika mtu hukimbia vilevile mtu akisikia tena Chadema baada ya kuwachukia hatasikiliza hata hoja gani inazungumzwa. Sasa ushauri wangu kwenu wawili ni kwamba toeni hoja kwa misingi unayoitambua wewe ndio maana ya kuitwa msomi lazima uwe na misimamo unayoiamini. Kuna watakaokubaliana nayo na wengine kuipinga but mwisho wa siku ujumbe umefika.
Rudi kweni iran
Huo upupu wako bakiza kwenye blog yako! Unakera unaudhi unakuwa kama mnyama mwenye mkia mfupi!
Rudi kweni iran
Hahahahahaha asanta sana kumbe mkichukua madaraka ndio mtafanya hivi? kwa taarifa yako babu wa babu yangu kaburi lake lipo pale mtaa wa samora kwenye gadeni tangu amekufa inakaribia miaka mia moja mimi naweza kuwa mtanzania zaidi yako na tukakukuta wewe ni mnyarwanda, au ndugu yake obama unatoka nyanza ila rangi yako umejimix ukaonekana na wewe mwenzetu. Nadhani hakutakuwa na faida kujibishana na mtu mwenye ID feki itakuwa ni sawa na kuzozana na ukuta!
Bora Iran kuliko Tanzania,kuna tulichofuata,tutaondoka!
We mbona mkia wako mfupi?tunakujua sana!!
Tutaanza na RA
Rudi kweni iran
Mkuu,Mkuu Magidd katoka kuchunga ng'ombe ndo kashika karamu angalia hapo chini
Mkuu Magidd katoka kuchunga ng'ombe ndo kashika karamu angalia hapo chini