Watu wengine hata kama wana pesa lakini wana roho za kimaskini na wamejawa na tamaa na anataka vyote viwe vyake yaani apate yeye tu.Hata kama alinunua kwa pesa yake, kitasa ni million ngapi?
Aibu!!!!!!!!!!!!!!!!
Mtoto wa Kishua, you have got an inferiority complex. Even your name proves it. I 'll stop answering your gibberish rubbish as I don't have more time to waste with you. Stay with your muzungu neighbour and enjoy yourself!
Watu wengine hata kama wana pesa lakini wana roho za kimaskini na wamejawa na tamaa na anataka vyote viwe vyake yaani apate yeye tu.
jamani acheni kumzulia lau mambo mengi si mnajua baada ya kushindwa aliiacha ofisi ikabaki na wasaidizi wake ...wasaidizi ndio waliochukua vitasa na mapazia wana jf tusifike kuzua mpaka yasiyo na kichwa kwani huyu mtu amepata posho nyingi wizara ya kwenu ya ndani
ni ngumu kwani amechoka na matokeo yalivyokuwa ata wewe ingekuwa hivyo hivyo..........masha ni heri angerudi kuchukua nafasi yake kuliko huyu mpemba anayeua watuAngetoa ufafanuzi basi kupitia vyombo vya habari na kukanusha tuhuma hizi kuwa wasaidizi wake ndio waliong'oa hadi vitasa na kwa ruhusa ya nani?. Kukaa kimya na kuingia mitini ina maanisha kachukua hivo vitu. Silence means Yes au sio??