Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 333
Hasa kuogopana ni kwa ajili ya itikadi hasa za kisiasa. Siamini kama tukikutana tunaweza kushangaana. Ukiamua kuwasiliana you can bila hata a real address. pm inatosha. ................................................. Kiukweli sitamani kabisa kukutana na jf memba wa ke...............,.,,,,,,,,, mengine nimesahau
Sasa hizo tofauti za kiitikadi za kisiasa zinahusikaje humu MMU wakati wanasiasa wana jukwaa lao?
Jibu kwanza maswali harafu tuendelee.
Nawasilisha.
Niko kwa tumbo tandale karibuni sana,sijaoa am a chronic single ready to mingle
mie napatikana mabwepande. karibuni sana.