PhD ndo zinatuambia hivyo mkuu,ajabu la 9 la duniaKiroja ni pale watu wanapodhani kubadilisha safu ya uongozi ndiko kufanya mageuzi kwenyewe!
PhD ndo zinatuambia hivyo mkuu,ajabu la 9 la duniaKiroja ni pale watu wanapodhani kubadilisha safu ya uongozi ndiko kufanya mageuzi kwenyewe!
Walewale vichwa vilevile vikichoka vinahamia chadema kwenda kuleta mabadiliko!!Mfumo ule ule watu n wale chama ni lile hakuna jipya!! Walipoimba wataisoma number wao walijitoa! Sasa Juma amewafumbia hadi chamani.....wanalia njaa.....na ameziba mianya.....ya chama kuchota
hata Nyerere alipokaribishwa kwenye chama cha TANU alipewa nafasi kubwa japokuwa kulikuwa na walioanzisha chamaIla mageuzi ndani ya chadema ni rahisi sana...Ndiyo maana yule mzee akawa mgombea mpaka kuweka chini yake kamati kuu yote ya chadema!
sidhani kama anawazidi lema, tundu lissu, mbowe , halima mdee, msigwaKajamaa kanafiki sana kale.
kwa hii chadema = chadomo, kwa kumuweka maumvi auTrust me watakao ipiga chini ccm 2020 Ni ccm wenyewe
Mageuzi CCM ni rahisi zaidi kwani Mwenyekiti anaweza kwenda na majina mfukoni Dodoma akadharau kamati kuu na kutoa majina yake aliyoandikia anakojua yy.Ila mageuzi ndani ya chadema ni rahisi sana...Ndiyo maana yule mzee akawa mgombea mpaka kuweka chini yake kamati kuu yote ya chadema!
Pesa za CCM zote anakula Lipumba kwa sasahivi ww ni kipi cha maana ambacho chama chako.kimefanya ukiringanisha na raslimali tulizonazo kuanzia pale kilipoanza kutuongoza had leo ,kama sio uduvyaduvya tu,peleka huko li chama lenu lisilo na huruma kwa wananchi wake
Na sasa kuna panya buku mkubwa (Lipumba) yupo humo anakula pesa zao kwa kwenda mbele.Ccm ni ukoo wa panya sio rahisi kufanya mageuzi
Serikali ya ajabu Tanzania kweli hamna mafisadi?,kagoda,Meremeta na Wanufaika wa IPTL hiyo mahakama haiwahusu,kwa hiyo majaji wa mahakama hiyo hawana kazi,makarani hawana kazi,office attendant nao hawana kazi,kwa tafsiri nyingine hao watu wanalipwa bila kazi.
Sasa basi naomba serikali nyie wenyewe mtamke kuwa hawa ni wafanyakazi feki ova.