Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,168
Kiroja ni pale watu wanapodhani kubadilisha safu ya uongozi ndiko kufanya mageuzi kwenyewe!
Na wakatarajia matokeo positive ,wakati fisi ni wale wale ..
Kiroja ni pale watu wanapodhani kubadilisha safu ya uongozi ndiko kufanya mageuzi kwenyewe!
Kwa kifupi kimepoteza hadhi ya kuitwa chama cha siasa na sasa kimegeuka kikundi cha watu fulani kwa malengo fulani.Usanii tu Mkuu. Chama kinachotoa rushwa kwa Wabunge wake ili wapitishe muswaada uchwara kamwe hakiwezi kubadilika. Chama ambacho kinadhani bado tuko kwenye mfumo wa chama kimoja na hivyo kutoiheshimu katiba ya nchi kamwe hakiwezi kubadilika. Chama ambacho kinapora bilioni 16 za wahanga wa tetemeko kamwe hakiwezi kubadilika. Chama kinachodai kwamba mahakama ya ufisadi kutokuwa na kesi ni ishara nzuri wakati kuna mafisadi chungu nzima ambao hawaguswi na mkono wa sheria kamwe hakiwezi kubadilika.
Tusubiri meli airport?Si msubiri??
kwenye bold hapo ... unamaanisha watanzania.Tusubiri wakati ukweli tunaujua? Unakumbuka kulivua gamba iliishia wapi? Hakuna mageuzi ndani ya CCM zaidi ya danganya toto. Huwezi kufanya mageuzi huku umewakumbatia watoa rushwa, wapokea rushwa, wakwapuzi wa pesa za wahanga wa tetemeko, majangili na wahuni wengine mbali mbali. Angalia kuhusu mahakama ya mafisadi, baadhi ya Watanzania walioamini usanii wa kuhusu mahakama hii wakaamini huu usanii. Sasa tunaambiwa eti mahakama hiyo iko idle kwa sababu inakosa kesi za mafisadi!!!! Kweli mafisadi wote hawa wa Lugumi, Escrow, IPTL, boti uozo n.k. halafu mahakama inakaa idle!!! Kweli!? Acheni kutuzuga banaa na kutufanya wapumbavu wa kutupa.
Sbiri msikie atakachosema, kama mnaona ni yaleyale basi endeleeni na mambo mengine.Tusubiri meli airport?
Ibambasi.... Bhana., why usingejiita pambazi???Ila mageuzi ndani ya chadema ni rahisi sana...Ndiyo maana yule mzee akawa mgombea mpaka kuweka chini yake kamati kuu yote ya chadema!