Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,042
- 16,872
Habari jamii Africa
Gereza linatisha,
Stori zake zinatisha,
Matendo ya huko yanaogofya,
Lakini ikiwa upo Duniani kaa ukijua muda na saa yoyote unaweza kuangukia huko.
Najua wengi tunajitajidi kuishi Kwa ukamilifu ikiwa ni njia ya kujiepusha na makosa mbalimbali,lakini niseme tu kama upo Dunia hii na unatafuta wewe ni mfungwa mtarajiwa.
Ujambazi,madeni, umalaya,ulevi,ubishi,kuua na tabia mbaya nyingi tu zinaweza kukufikisha jela,lakini unatambua kama si kila mfungwa ana hatia?
Ndiyo,wapo wafungwa wamefungwa Kwa kufananishwa, mazingira kuwahusisha na uhalifu,kukosa ushahidi au mashahidi kunaweza kukupeleka jela bila hatia.
Leo nikupe moja mbili tatu ,yaani vitu vidogo Sana vinavyoweza kukuweka matatani na ukajilaumu.
1.Epuka kutoa adhabu Kwa kumrushia mtoto wako kitu,iwe fimbo,jiwe au chochote.
2.Epuka kupiga mtoto wa jirani,ndugu na jamaa Kwa Nia nzuri ya kumuonya.
3.Epuka kuchangamkia wasichana, wadogo Sana,(siku hizi hata watoto wa kiume) ni mbaya sana
4.Epuka kushinda au kuweka mazoea na watu wa madili machafu.
5.Punguza mazoea na wake za watu
6.Jitahidi kufuata hata 0.5 %kufuata Sheria na taratibu za nchi.
No reforms
No election.
Picha ya siku