Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,749
- 1,311
MzunguMndali apumzike kwa amani.
Imeandikwa kila silaha(manoah) itakayoinuka juu yako haitafanikiwa.
Watakuja kwako kwa njia moja(matusi) ila watakimbia kwa njia saba(ban). Na wote mseme amen.
So shall it be.
Wewe mleta mada jina lako lingine
Wewe mleta mada jina lako lingine
Nani amewahi kupata BAN?
Jamani BAN ni mbaya sana!!!
Yaani uhuru wote unanyimwa,chawa kibao gerezani,hakuna kuonana na ndugu na jamaa,habari za uraiani ndio unazikosa kabisa!!!
Sasa,ingekuwa vyema magereza ya JF yangeboreshwa,ili angalau kupunguza mateso ya wafungwa!!
Ndugu zangu,tuwakumbuke wafungwa waliopo magerezani,just kwa kuwataja hapa,ili huko waliko wajisikie faraja.
Lol!!
Usiombe ulambwe BAN,ni NOMA!