Magereza ya JF yaboreshwe!!

Magereza ya JF yaboreshwe!!

Faiza Foxy! I'm missing her alot. Wanchekesha....
 
Last edited by a moderator:
Nani amewahi kupata BAN?
Jamani BAN ni mbaya sana!!!
Yaani uhuru wote unanyimwa,chawa kibao gerezani,hakuna kuonana na ndugu na jamaa,habari za uraiani ndio unazikosa kabisa!!!
Sasa,ingekuwa vyema magereza ya JF yangeboreshwa,ili angalau kupunguza mateso ya wafungwa!!
Ndugu zangu,tuwakumbuke wafungwa waliopo magerezani,just kwa kuwataja hapa,ili huko waliko wajisikie faraja.
Lol!!
Usiombe ulambwe BAN,ni NOMA!

Mie nilichapwa kwa kosa la No reason
 
Mkuu "ID speculation" ni kosa hapa JF!

ungeweka na uthibisho mkuu kuliko kusema ni speculation. otherwise mnatuacha hewani hatujui nani ni mkweli. manake inawezekana labda Arushaone anauthibitisho, au alimsaidia kumfungulia IDs.
 
Last edited by a moderator:
Nilishapigwa BAN maramoja ya mwezi mzima, ni balaa
 
Kaka,hawa vijana inabidi waige mfano wa mtakatifu,toka ajiunge mpaka muda huu wala hajui BAN ni kitu gani....

dah hiyo kitu ya BAN, huwa sipendi kabisa nikumbane nayo...bora hata nikose mshahara wa mkoloni lakini sio BAN
 
Mkuu ndo maana nipo uhamishoni.............. polisi wa nchi ya stress wanani mind sana

Kweli mkuu Mungi,kipindi nipo guest nilizoea kukuchungulia jukwaa la siasa.
Vipi,huendi tena huko?
 
Last edited by a moderator:
Marhaba mtoto mzuri Arushaone! Ntaponaje ilhali umenisusa kwa shida na raha? Afu nimekununia mpaka x'mass ipite! (No mwaaaaa from me)

Kutoka moyoni mwako unajua fika uko hapa moyoni mwangu!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom