Mmh mate wanapata nafasi ya kuonekana kwenye camera ni viongozi na ma celebrate wetu. Mimi nikienda nitaishia jikoni kukata vitunguu.Mate umesahau tumekuwa wengi kuliko me
Ni mpango wa kupokezana
Copy n paste inawatesa wengi
* nje ya mada kidogo msibani vipi mate huendi? Nasikia wengine wameenda watoke kwa social media wapate kiki uwiiiii WaTz nimenyoosha mikono juu..
Mimi niko Igumbilo hapa Iringa na ninasali usharika wa Igumbilo na wakati mwingine Kanisa Kuu Iringa mjini. Wadada wa huku wana ngozi inayozuia na kuhimili baridi za aina zote, wanapiga tuvazi tata hata kukiwa na baridi ya 4Β°CView attachment 1034761
Wengi wenu mmjejaliwa uzuri, sasa kule kanisani mkifanya ndiyo sehemu ya maonyesho ya mavazi kwakweli mnatukwaza hasa sisi wenye ndoa.
Binti hata kupiga magoti anashindwa nguo imebana huku imepasuliwa huku. Hata kama unaumwa mr akisema ninakwenda kanisani inabidi ujikongoje umfuate.
Kheri huku kwetu Iringa kipindi cha baridi inabidi wastiri maungo. Ni kwa kujikinga na baridi tu.
View attachment 1034774
Si mbaya kuwa na magauni matatu ya heshima ambayo ni ya kanisani tu.
View attachment 1034761

"Magazine"??View attachment 1034761

Wanakwaya wa WAWATA hawana nafasi kwenye huu msiba wa makada na maselebriti. Hivi wanakwaya wa kikatoliki nao ni wasanii?Mate umesahau tumekuwa wengi kuliko me
Ni mpango wa kupokezana
Copy n paste inawatesa wengi
* nje ya mada kidogo msibani vipi mate huendi? Nasikia wengine wameenda watoke kwa social media wapate kiki uwiiiii WaTz nimenyoosha mikono juu..
Sio matatu tu dada,yawe yote ya heshima.View attachment 1034761
Wengi wenu mmjejaliwa uzuri, sasa kule kanisani mkifanya ndiyo sehemu ya maonyesho ya mavazi kwakweli mnatukwaza hasa sisi wenye ndoa.
Binti hata kupiga magoti anashindwa nguo imebana huku imepasuliwa huku. Hata kama unaumwa mr akisema ninakwenda kanisani inabidi ujikongoje umfuate.
Kheri huku kwetu Iringa kipindi cha baridi inabidi wastiri maungo. Ni kwa kujikinga na baridi tu.
View attachment 1034774
Si mbaya kuwa na magauni matatu ya heshima ambayo ni ya kanisani tu.
Bwana Asifiwe Sana...Sio matatu tu dada,yawe yote ya heshima.
Mavazi hayapimi ukristo wa Mtu lakini Ni moja miongoni mwa vipimo
Sisi ni barua,tuwe vielelezo ,mataifa waige mienendo yetu..upole wetu,heshima yetu,matendo yete na tabia zetu zijulikane na watu
Sisi Ni Nuru ya ulimwengu,,sisi Ni taa...ukivaa hivyo mtu anaetarajia kuokoka atajifunza nini!???hakuna
Nini kitakachomuonyesha utofauti Kati yako na yeye??hakuna
Wakristo wa siku hizi tunavaa Kama watu tusiomjua Mungu, yaani Mtu anavaa Hadi unajiuliza hivi huyu hakujikagua kabla hajaondoka!! Mwingine anaanza kuhangaika kuvuta kinguo kipo huku juu ya magoti badala kukaa kwa utulivu kusikiliza ibada
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani bado hujajua KANISA ni nini.SISI HUKU KANISANI KWETU MBONA ZAIDI YA HIVYO BUT TUNAENDELEA KUMUABUDU MUNGU TU NA MAISHA YANAENDELEA NA UMOJA WA MATAIFA TUNATINGA VIVI HIVI
View attachment 1034808View attachment 1034809View attachment 1034810
Hivyo walivyovaa wannaume wanachongewa kutokana na ukubwa wa dushe?πSISI HUKU KANISANI KWETU MBONA ZAIDI YA HIVYO BUT TUNAENDELEA KUMUABUDU MUNGU TU NA MAISHA YANAENDELEA NA UMOJA WA MATAIFA TUNATINGA VIVI HIVI
View attachment 1034808View attachment 1034809View attachment 1034810
SISI HUKU KANISANI KWETU MBONA ZAIDI YA HIVYO BUT TUNAENDELEA KUMUABUDU MUNGU TU NA MAISHA YANAENDELEA NA UMOJA WA MATAIFA TUNATINGA VIVI HIVI
View attachment 1034808View attachment 1034809View attachment 1034810
Kama hii ndiyo moral wa society yenu hamna shida kwani mmeshaikubali. Lakini sisi hatuna ethics za kwenda kanisani nusu mptupuSISI HUKU KANISANI KWETU MBONA ZAIDI YA HIVYO BUT TUNAENDELEA KUMUABUDU MUNGU TU NA MAISHA YANAENDELEA NA UMOJA WA MATAIFA TUNATINGA VIVI HIVI
View attachment 1034808View attachment 1034809View attachment 1034810
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna tamadun nyingine ni kitukoSISI HUKU KANISANI KWETU MBONA ZAIDI YA HIVYO BUT TUNAENDELEA KUMUABUDU MUNGU TU NA MAISHA YANAENDELEA NA UMOJA WA MATAIFA TUNATINGA VIVI HIVI