mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
BORA wasira aingie ikulu kwani ana msimamo kulikoni zitto
:biggrin1: eti wasira.. Ur so funny... Wasira akiwa hata waziri mkuu nahama nchi
BORA wasira aingie ikulu kwani ana msimamo kulikoni zitto
Mkuu Mkandara, I don't belive this!. Sorry sio kuwa I don't belive you!, I just don't belive what you are saying!.Dah kumbe Zitto kazi yake kuhonga magazeti wamweke ukuruasa wa kwanza hata kama wanamtukana ili mradi tu atoke.. Magazeti yote haya kayalipa atolewe Ukurasa wa kwanza kwa sababu anautaka urais..Dah basi huyu Zitto ana akili sana ama kichaa kabisaaa..
Hapana mkuu sijajiingiza ila nashangaa tu kuona magazeti kama 10 yote yamemtoa Zitto frontpage na kumponda sana kumbe kalipia apondwe? basi nimechoka na politics za Bongo.. Ndugu yangu W.J alitoka gazeti moja na siku moja tu! nguvu zote zilimwisha basi huyu Zitto, Mgebuka haswaaa..Mkuu Mkandara, I don't belive this!. Sorry sio kuwa I don't belive you!, I just don't belive what you are saying!.
I has happened kuwa niko Dodoma, nitajaribu to seek audience with Zitto na nitamuuliza baadhi ya maswali ili kuweka conscious yangu right kuwa I support the right man who will stand for the right cause no matter what!. Mkandara, ma great thinkers wa level yako its improper kujiingiza kwenye unfounded allegetions, insinuations and some innuendos!.
Mbona slaa alilazimisha mpaka kusema inchi haitatawalika, sikusikia mtu aliemsema vibaya.
Wewe umeona Tanzania Daima peke yake? Kaangalie Mtanzania.Kwanini gazeti la Tanzania Daima liko negative sana kuhusu Zitto? eti "Urais Unamtesa Zitto".
Gazeti la Mwananchi limeandikaje habari hii?
Lakini sio kwamba sielewi mkuu wangu najua sana kwamba Zitto is ambitious. Alisema toka zamani he will be the President oneday -watch me!..Kwangu mimi this is good news na toka siku ile nampima yeye kama yeye na sio kauli zake.. Kuna sehemu nimetofautiana na Zitto na kuna mahala tunakubaliana lakini kutaka kwake kugombea Urais hakunipi shida mimi hata kidogo kwa sababu najua ni wananchi wapiga kura watakao mchagua rais wa Jamhuri ya Tanzania..Mkandala umeona sasa hali halisi. Kuna kitu kisicho cha kawaida sana kwa Zitto, na hili ameshawahi kutamka mara nyingi sana, ni dalili mbaya kuhangaikia bila kutafuta utendajiwa ambao utamfanya wananchi wamwamini. Wengi walikuwa na mtazamo mzuri sana lakini sasa inaelekea kutifuka kutokana na alivyoharibu bungeni.
Ninapolishangaa Tanzania Daima ni kwa sababu inafahamika ni gazeti la Mbowe na siku zote inaizungumzia vizuri CHADEMA kama lilivyo MWANAHALISI. Sasa Zitto kama mwana CHADEMA nilitegemea wamzungumzia more sensibly kuliko kusema anateswa na Urais.
Labda ukweli kuwa Zitto anateswa na urais umemfanya asiwe mchangiaji muhimu katika mikakati ya Chadema. Labda he is more about Zitto than about the party. Sijui.Ninapolishangaa Tanzania Daima ni kwa sababu inafahamika ni gazeti la Mbowe na siku zote inaizungumzia vizuri CHADEMA kama lilivyo MWANAHALISI. Sasa Zitto kama mwana CHADEMA nilitegemea wamzungumzia more sensibly kuliko kusema anateswa na Urais.
Filikunjombe: Sikwenda Kigoma kumsafishia yeyote njia
Mh. Mh. Deo Filikunjombe amestushwa sana na swala la yeye kumsafishia Zitto njia ya Urais.
'Hayo ya Zitto ni ya kupikwa, something wrong somewhere" Anashangaa kwa nini kawekewa maneno mdomoni ambayo namna au nyingine imemdhalilisha kwa wapiga kura wake na kuonekana kama kibaraka fulani?
Atazungumza na waandishi wa Habari/atatoa tamko lake hivi karibuni. Mh. Jembe Mh. Deo Filikunjombe anasema kwamba ametumwa na watu wake kuwawakilisha na siyo kuzungumzia mambo yasiyo na msingi tena ya kuropokwa.hakwenda kigoma mumsafishia yeyote njia... Stay tuned.
source mshirika wa Mheshimiwa
Kwanini usihisi kuwa gazeti hilo, ambalo lina editor, ni gazeti la kimtaamtaa.Wote waliotajwa na gazeti la Mwananchi kuwa walimsafishia njia Zitto wanakana kusema maneno hayo, je ni dalili gazeti lilinunuliwa na Zitto kumtangaza?
Kila lakheri Zitto tuko nyuma yako. Kama Mungu amepanga itakuwa tu!
watu wa cdm wanamwona dr. slaa kama nyerereMbona slaa alilazimisha mpaka kusema inchi haitatawalika, sikusikia mtu aliemsema vibaya.