magazeti yetu ya kiswahili bana!!

magazeti yetu ya kiswahili bana!!

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,946
Reaction score
5,382
mmmmmh! haiwezekani
 

Attachments

  • swahili.jpg
    swahili.jpg
    27.3 KB · Views: 866
Mrekebishie...ongeza ti (Kutibiwa bure) Editor alikuwa anafuatilia matokeo ya US hahaha!!!!!
 
Tanzania Daima nini hapo viroba lazima vina husika
 
Fani ya uhariri wa habari imeingiliwa, mbele na nyuma.
 
Madhara ya kuajiri wavuta bangi ndio hiyo
 
Ni tatizo dogo tu la kibinadamu.
 
Kumbe walikuwa wana.t.i.wa kwa hela lol?hii nchi imekosa umakini kabisaa
 
Dah umefanya asubuhi yangu iwe poa,maana umenichekesha sana.
 
Ni tatizo dogo tu la kibinadamu.

Hhm..mkuu to my knowledge huwa kuna editorial office..kazi yao ni nini hasa? dont they proof read?
-Ingekuwa kosa "dogo tu la kibinadamu"..katika column passage lakini heading kubwa kama hiyo?
 
Mh hayo makosa mengine yanaleta balaaaa kwenye jamii, ukianza kulitafakari hilo neno
 
Back
Top Bottom