Imekuwa jadi kwa baadhi ya magazeti yanayotoka Jumatano na Jumapili kuchapisha content nyingi sana kutoka humu JF. Binafsi nimeona content zangu lifted kama zilivyo, neno kwa neno, kwenye matoleo na magazeti kama manne tofauti. Wakishindwa kubadili angalau maneno ili yaendane na mawazo yao, na badala yake kuamua to lift neno kwa neno, ingekuwa jambo la busara sana kama waandishi hawa angalau wangetoa credit kwa jamiiforums, kwani huko ni kujengana kama media platforms. Hawana haja ya kutaja majina ya wachangiaji au watoa mada humu kwani wengi wetu tuna majina ya uongo, lakini angalau watoe credit kwa jamiiforums. Huo ni mtazamo wangu binafsi.
Mkuu Mchambuzi ebu weka link za makala zako na makala za hayo magazeti yanayofyonza habari JF.
Hoja yako nimeipenda mkuu, akifanya hivyo itakuwa nzuri zaidiMkuu Mchambuzi ebu weka link za makala zako na makala za hayo magazeti yanayofyonza habari JF.
Mkuu mchambuzi naona kama umvaa hereni masikio yote au ni macho yangu?
Kama ni kweli nipm nikuambie jambo.
Mkuu Mchambuzi ebu weka link za makala zako na makala za hayo magazeti yanayofyonza habari JF.
Lakini na sisi humu tunahamisha mengi toka kwenye hayo magazeti. Magazeti hayatoi tu shukrani kwa JF kama wanaJF wafanyavyo wanapoyanukuu. Nyumba tunajenga ni moja. Tusigombee fito.
Mkuu Mchambuzi ebu weka link za makala zako na makala za hayo magazeti yanayofyonza habari JF.