Magazeti ya tarehe 26.10.2015 yataandika

Magazeti ya tarehe 26.10.2015 yataandika

lost id

Ili kuwa consistent,Kuanzia nec ya CCM dodoma magazeti hayo yaliandika, "amekatwa aisee",EL alipohamia UKAWA yakaandika "Ameingia aisee", Sasa heading inayofaa ni
"LOWASSA AMEWAKATA AISEE"
 
Last edited by a moderator:
tarehe 27 sasa....
magazeti yooote
shamra shamra za kusherekea ushindi wa lowasa zasimamisha shughuli za kijamii majiji yote Tanzania.
 
radio uhuru mwaka kesho january....ndugu wasikilizaj tunaomba radhi hatutakuwa hewani kwa kipindi kisichojulikana kutikana na upandaji wa gharama za uendeshaji wa kituo cha radio
 
Uwazi:Magufuli amlaumu JK kwa kumuingiza mkenge,Lowassa ndo Rais wa 5.
Hata kwenye misiba huwa kuna watu wanaowafariji wafiwa. Naona Team Lo mpo msibani mnafarijiwa na wana ccm na vyama vingine kwa msiba mkubwa mlioupata baafda ya mgombea wenu kushindwa vibaya. Hawa wanaoonekana kwenye mikutano yake wanasema wazi kuwa wao wanachotaka ni nauli wanazopewa ila mzee huyo mwenye kichwa cheupe hawana mpango naye.
 
lost id

Huu ni utabiroi wa kuzimu hauna chochote kwa walio hai
 
Last edited by a moderator:
Ili kuwa consistent,Kuanzia nec ya CCM dodoma magazeti hayo yaliandika, "amekatwa aisee",EL alipohamia UKAWA yakaandika "Ameingia aisee", Sasa heading inayofaa ni
"LOWASSA AMEWAKATA AISEE"
WATAANDIKA "AMESHINDWA TENA AISEE" MWISHO WAKE UMEFIKA AISEE, MAGUFULI RAIS MPYA, CCM KIDEDEA, CCM YAPATA USHINDI WA TSUNAMI, HATUKUTARAJIA, TZ Daima wataandika Goli la Mkono lafanikiwa. Jamhuri watasema HATUKUBALI- UKAWA
 
Kikao cha kwanza cha bunge kupokea mswada wa mahakama ya mafisadi.asema Katibu wa.. M
 
Wana JF huwa wanasema "mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe"

Kwa hali iliyokuwepo sasa hivi sina uhakika kama Lowassa atamaliza dakika 90 uwanjani.
Tufanye iwe hivyo km unavyoomba,unadhani ndo itakuwa nafuu yenu ccm!!??
 
Hahaha hahahahahahahahah. Mku najua 26/10 matokeo yatakua bdo but umenifurahisha sanaaaaaa
 
Unaongelea nafuu ya nini?

Sikuelewi.
Ulichosema kwenye post yako hii hapa↓nakunukuu;


Wana JF huwa wanasema "mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe"

Kwa hali iliyokuwepo sasa hivi sina uhakika kama Lowassa atamaliza dakika 90 uwanjani.


Hapo unamaanisha unaomba Mungu amchukue Lowassa pengine kwa hisia zako unadhani ndo itakuwa ahueni kwa chako!!??
 
CCM na serikali yake chovu vimesahau kwamba vyombo vingi vya kimataifa vinaangalia upuuzi wote unaoendelea Star tv,Tbc na magazeti yake na waangalizi wanashangaa kwa nn TBC si ya UMMA ila ni ya CCM na inaonyesha upendeleo wa wazi kwa CCM,Uzushi unaofanywa na vyombo hivi unaonekana wazi kabisa TUME YA UCHAGUZI IKO KIMYA yote hayo uangalizi wa kimataifa unaona na Wamejua kabisa kuwa CCM maji yako Shingoni na kinachoendelea ni kutapatapa tu bado dakika chache chama kinazama jumla.
 
Wana JF huwa wanasema "mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe"

Kwa hali iliyokuwepo sasa hivi sina uhakika kama Lowassa atamaliza dakika 90 uwanjani.

Bibie nina malalamiko chapati za jana hazikuwa nzuri hazikuwa na chumvi, nitamtuma kijana wangu niwekee chapati 6 pamoja na mbaazi.
 
Hata kwenye misiba huwa kuna watu wanaowafariji wafiwa. Naona Team Lo mpo msibani mnafarijiwa na wana ccm na vyama vingine kwa msiba mkubwa mlioupata baafda ya mgombea wenu kushindwa vibaya. Hawa wanaoonekana kwenye mikutano yake wanasema wazi kuwa wao wanachotaka ni nauli wanazopewa ila mzee huyo mwenye kichwa cheupe hawana mpango naye.

Hiyo tarehe unayoitaja kutakuwa na magazeti machache sana kwani waandishi wengi watakuwa kwenye mgomo baada ya mtu wao kushindwa.
Sijawahi kuona waandishi wanaosahau maadili ya taaluma zao Kama kipindi hiki. Wakati wa mkutano wa. Dr. Slaa walishangilia Kila point, alipokuja Gwajima kumjibu Dr. Slaa ukumbi ukageuka wa ushabiki utadhani Timu za mpira za watani wajadi zinacheza. Waandishi mmejivunjia Heshima kwa ushabiki usio na maana, wanaikosesha jamii kupata habari ili wapi me wenyewe.
 
Back
Top Bottom