Magazeti ya tarehe 26.10.2015 yataandika

Magazeti ya tarehe 26.10.2015 yataandika

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,050
Reaction score
12,968
Uhuru: CCM waibiwa kura baadhi ya majimbo hasa ngome ya Lowassa.

Mtanzania: Shikamoo Lowassa.

Majira: CCM chali kifo cha mende.

Daily news: Lowassa becomes victorious.

Habari Leo: Lowassa aibwaga CCM.

Tanzania Daima: CHADEMA/ UKAWA oyeeeeeeeeee.

Mwanahalisi: Lowassa amgaragaza Kikwete.

Mawio: Lowassa awafanya vibaya CCM.

Nipashe: Jiwe walilolikataa waashi lawa jiwe kuu la msingi.

The Guardian: The longest ruling political party and most corrupt government on the continent is ousted.

The East African: Peoples voice, Peoples choice.

Raia Tanzania: CCM yalia na Tume ya uchaguzi,yachezewa faulo.

Al- hulda: Lowassa aibuka kidume.

Zanzibar Leo: UKAWA ni wanaume.

Jamii media:: Lowassa aibuka kidedea.

Lizabon: Lowassa ni dume la mbegu, CCM tulichemka kummkata.
 
Mwanahalisi forum:Tanzania yafungua ukurasa mpya.
 
Sani: mzee kifimbo cheza amsaka aliyeharibu CCM, na kikwete alia kilio cha kutapika pesa za uma

Sim yangu
 
Tarehe 26 kibongobongo watu watakuwa bado wanahesabu kura.
 
Uwazi:Magufuli amlaumu JK kwa kumuingiza mkenge,Lowassa ndo Rais wa 5.
 
Uhuru: raia wafanya makosa wamemchagua Lowassa kwa wingi wakidhani ni mgombea wa CCM
 
Wana JF huwa wanasema "mnajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe"

Kwa hali iliyokuwepo sasa hivi sina uhakika kama Lowassa atamaliza dakika 90 uwanjani.
 
Ccm ikishindwa matokeo hayatatoka ndani ya siku saba mpaka wahakikishe wamemaliza mbinu zote za kuyabadilisha
 
Back
Top Bottom