assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
ila kweli mkuu, naona kila 1 na idadi yake mpaka uhuru gazeti la chama nalo lina idadi yake sasa sijui tushike wapiwaandishi wetu wahabari wamejibweteka hawafanyi uchunguzi ndio mana waandishi wa Dira na mawio wapo mahakamani.
sasa tazama Jana kumetolewa list ya wakuu wa wilaya 139
lakini nipashe lina idadi yake ya walioachwa,mwananchi pia,jambo Leo pia,mtanzania pia,Tanzania daima karibia magazeti yote yanatakwimu tofauti kuonyesha hawako makini kabisa
vingapi watatupotosha ikiwa tayar hapa kitakwimu wameshatupotosha sisi Walaji wa habari
Ndio mana Nape anawapiga rungu la kichwa.
Mkuu nimeshangazwa sana kuona magazeti yakitofautiana idadi ya waliotemwa.waandishi wetu wahabari wamejibweteka hawafanyi uchunguzi ndio mana waandishi wa Dira na mawio wapo mahakamani.
sasa tazama Jana kumetolewa list ya wakuu wa wilaya 139
lakini nipashe lina idadi yake ya walioachwa,mwananchi pia,jambo Leo pia,mtanzania pia,Tanzania daima karibia magazeti yote yanatakwimu tofauti kuonyesha hawako makini kabisa
vingapi watatupotosha ikiwa tayar hapa kitakwimu wameshatupotosha sisi Walaji wa habari
Ndio mana Nape anawapiga rungu la kichwa.
lakini nipashe lina idadi yake ya walioachwa,mwananchi pia,jambo Leo pia,mtanzania pia,Tanzania daima karibia magazeti yote yanatakwimu.
Hata kujiita bongolala umejisifu sana.Elimu hewa itolewayo na ccm ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo
Mtoa takwimu mkuu ni tangazo la Ikulu, tuna wilaya 139, wakuu wa wilaya ni 139. Kati ya hao, waliobaki ni 39, hivyo wapya ni 100!. Kati ya hao wakuu wapya 22 ni wakurugenzi na 78 ndio wapya kabisa. Mkanganyiko wa idadi unasababishwa na baadhi ya wakuu wa wilaya wameteuliwa kuwa wakuu wa mikoa, baadhi ya wakuu wa wilaya waliishateuliwa kabla kama Happi, haijulikani aitwe mpya au wa zamani.waandishi wetu wahabari wamejibweteka hawafanyi uchunguzi ndio mana waandishi wa Dira na mawio wapo mahakamani.
sasa tazama Jana kumetolewa list ya wakuu wa wilaya 139
lakini nipashe lina idadi yake ya walioachwa,mwananchi pia,jambo Leo pia,mtanzania pia,Tanzania daima karibia magazeti yote yanatakwimu tofauti kuonyesha hawako makini kabisa
vingapi watatupotosha ikiwa tayar hapa kitakwimu wameshatupotosha sisi Walaji wa habari
Ndio mana Nape anawapiga rungu la kichwa.
Hakuna shida kutoa idadi ya walioachwa.Shida ipo wapi wakitoa idadi ya walioachwa? Ili wananchi wajue waliotumbuliwa! Hau na wewe umeachwa!