assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Waandishi wetu wa habari wamejibweteka hawafanyi uchunguzi ndio maana waandishi wa Dira na Mawio wapo mahakamani.
Sasa tazama Jana kumetolewa list ya wakuu wa wilaya 139,lakini nipashe lina idadi yake ya walioachwa,mwananchi pia,jambo Leo pia,Mtanzania pia,Tanzania daima karibia magazeti yote yana takwimu tofauti kuonesha hawako makini kabisa
Vingapi watatupotosha ikiwa tayari hapa kitakwimu wameshatupotosha sisi Walaji wa habari
Ndio mana Nape anawapiga rungu la kichwa.