BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,119
- 2,805
hahahah
1.kuna idadi ya waliotemwa kwa ujumla waoMkuu nimeshangazwa sana kuona magazeti yakitofautiana idadi ya waliotemwa.
Tanzania hakuna waandishi wa habari,kuna wababaishaji tu.Hela ya kununua gazeti ni bora unywe juisi ujenge mwili.Waandishi wetu wa habari wamejibweteka hawafanyi uchunguzi ndio maana waandishi wa Dira na Mawio wapo mahakamani.
Sasa tazama Jana kumetolewa list ya wakuu wa wilaya 139,lakini nipashe lina idadi yake ya walioachwa,mwananchi pia,jambo Leo pia,Mtanzania pia,Tanzania daima karibia magazeti yote yana takwimu tofauti kuonesha hawako makini kabisa
Vingapi watatupotosha ikiwa tayari hapa kitakwimu wameshatupotosha sisi Walaji wa habari
Ndio mana Nape anawapiga rungu la kichwa.