Magazeti ya Tanzania na takwimu za wakuu wa Wilaya, ndio maana serikali huyafungia

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Waandishi wetu wa habari wamejibweteka hawafanyi uchunguzi ndio maana waandishi wa Dira na Mawio wapo mahakamani.

Sasa tazama Jana kumetolewa list ya wakuu wa wilaya 139,lakini nipashe lina idadi yake ya walioachwa,mwananchi pia,jambo Leo pia,Mtanzania pia,Tanzania daima karibia magazeti yote yana takwimu tofauti kuonesha hawako makini kabisa

Vingapi watatupotosha ikiwa tayari hapa kitakwimu wameshatupotosha sisi Walaji wa habari

Ndio mana Nape anawapiga rungu la kichwa.
1467024198932-jpg.360604

IMG_20160627_050450.jpg
IMG_20160627_051130.jpg
IMG_20160627_051051.jpg
IMG_20160627_051008.jpg
IMG_20160627_050927.jpg
IMG_20160627_050852.jpg
IMG_20160627_050709.jpg
IMG_20160627_050620.jpg
 
waandishi wetu wahabari wamejibweteka hawafanyi uchunguzi ndio mana waandishi wa Dira na mawio wapo mahakamani.

sasa tazama Jana kumetolewa list ya wakuu wa wilaya 139
lakini nipashe lina idadi yake ya walioachwa,mwananchi pia,jambo Leo pia,mtanzania pia,Tanzania daima karibia magazeti yote yanatakwimu tofauti kuonyesha hawako makini kabisa

vingapi watatupotosha ikiwa tayar hapa kitakwimu wameshatupotosha sisi Walaji wa habari

Ndio mana Nape anawapiga rungu la kichwa.
ila kweli mkuu, naona kila 1 na idadi yake mpaka uhuru gazeti la chama nalo lina idadi yake sasa sijui tushike wapi
 
waandishi wetu wahabari wamejibweteka hawafanyi uchunguzi ndio mana waandishi wa Dira na mawio wapo mahakamani.

sasa tazama Jana kumetolewa list ya wakuu wa wilaya 139
lakini nipashe lina idadi yake ya walioachwa,mwananchi pia,jambo Leo pia,mtanzania pia,Tanzania daima karibia magazeti yote yanatakwimu tofauti kuonyesha hawako makini kabisa

vingapi watatupotosha ikiwa tayar hapa kitakwimu wameshatupotosha sisi Walaji wa habari

Ndio mana Nape anawapiga rungu la kichwa.
Mkuu nimeshangazwa sana kuona magazeti yakitofautiana idadi ya waliotemwa.
 
Naanza kuelewa statement ya mkapa.
Ni chungu ila ukweli mnashuhudia wenyeweee
 
lakini nipashe lina idadi yake ya walioachwa,mwananchi pia,jambo Leo pia,mtanzania pia,Tanzania daima karibia magazeti yote yanatakwimu.

Shida ipo wapi wakitoa idadi ya walioachwa? Ili wananchi wajue waliotumbuliwa! Hau na wewe umeachwa!
 
Tanzania Daima: Magufuli akata ma DC 93 wa JK, Jambo Leo: Magufuli awakata ma DC 101 wa Kikwete, Mwananchi: Magufuli awapiga chini wakuu wa wilaya 100, Nipashe: wateule 75 wa Kikwete waliotemwa hawa hapa, The Citizen: JPM drops 100DCs as new list is unveiled.
 
Tatizo kubwa la waandishi wetu ni wavivu wa kufuatilia kwa kina wanapenda mjumuisho au kunakili kwa wenzao, hapo lazima takwimu hazitakwenda sawa maana kila mtu ana lake. Ila kwa fikra zangu nadhani wahariri nao pia walaumiwe watatahariri vipi taarifa isiokamilika na kuruhusu idurusiwe kuwafikia wananchi?, mwisho wa siku maumivu kwa mwandishi.
 
Ha ha magazeti uchapishwa usiku may be viroba na usingizi ivi wamechaguliwa wangapi bosi khaa we iyo iyo
 
waandishi wetu wahabari wamejibweteka hawafanyi uchunguzi ndio mana waandishi wa Dira na mawio wapo mahakamani.

sasa tazama Jana kumetolewa list ya wakuu wa wilaya 139
lakini nipashe lina idadi yake ya walioachwa,mwananchi pia,jambo Leo pia,mtanzania pia,Tanzania daima karibia magazeti yote yanatakwimu tofauti kuonyesha hawako makini kabisa

vingapi watatupotosha ikiwa tayar hapa kitakwimu wameshatupotosha sisi Walaji wa habari

Ndio mana Nape anawapiga rungu la kichwa.
Mtoa takwimu mkuu ni tangazo la Ikulu, tuna wilaya 139, wakuu wa wilaya ni 139. Kati ya hao, waliobaki ni 39, hivyo wapya ni 100!. Kati ya hao wakuu wapya 22 ni wakurugenzi na 78 ndio wapya kabisa. Mkanganyiko wa idadi unasababishwa na baadhi ya wakuu wa wilaya wameteuliwa kuwa wakuu wa mikoa, baadhi ya wakuu wa wilaya waliishateuliwa kabla kama Happi, haijulikani aitwe mpya au wa zamani.

Pasco
 
Shida ipo wapi wakitoa idadi ya walioachwa? Ili wananchi wajue waliotumbuliwa! Hau na wewe umeachwa!
Hakuna shida kutoa idadi ya walioachwa.

Shida inakuja kwenye idadi itolewayo ya hao walioachwa.

Kila gazeti lina idadi ya peke yake isiyoyendana na gazeti lingine,wakati kimantiki magazeti yote yanatakiwa yawe na idadi sawa ya waliochwa.

Wasomaji washike idadi ipi ya waliochwa,93,101,100 au 75?.
 
Haya magazeti yanatakiwa kufatiliwa kwa karibu utendaji wao wa kazi kwa mustakabali mzuri wa nchi yetu.
Hiyo taarifa inatoa mashaka kuhusu utendaji wao na chanzo cha taarifa zao.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom