Magari yote Kaskazini ya Tanzania

Magari yote Kaskazini ya Tanzania

Hapa sasa msheanzisha legue kati ya wanaume wa Dar vs Mikoani


Mshana Jr ukuje huku
 
Hakuna aliyesema wamevunja sheria ila mimi nimeshangaa watu wanaenda makwao watu wanaanzisha league hata Mimi mwaka mpya nitakuwa kwetu kisangani congo
Kuna mahali wamevunja sheria? Hii ni haki ya watu kwenda wanakotaka...
 
POST YA HOVYO YA SIKU......BARA BARA HAIJAWAHI KUKAUKA WAPITAJI ACHA UZWAZWA
 
Nikiwa njiani kutokea Arusha Jana mpaka Leo tarehe 22 Dec nimeshuhudia kupishana na msururu wa magari binafsi mengi utafikiri wadudu wakisafiri, yote yanaonekana kutokea Dar, je watu wa kaskazini ndiyo wanaongoza kuwa na vyombo vya usafiri au Magari
Hilo halina ubishi wenzetu wa kaskazini walishatangulia sana,nasi tupambane tuwakute
 
Back
Top Bottom