Magari ya washawasha yamwagilia maua, hawana kazi, nimeipenda hii!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Askari kwenye Mji wa Hamburg huko nchini Ujerumani wametumia maji ya kwenye magari ya
washa washa kumwagilia maua na miti ambayo imekauka, hii ni baada ya magari hayo kukosa kazi, eti hakuna maandamano kila kitu shwari na sasa wameamua kumwagilia maua na miti, ...

Muzungu bhana kwa propaganda na usanii ni nomaa!


630x356



630x356


630x356
 
Nashauri na haya yetu yafanye hio kazi kuliko kukaa kusubiri maandamano huku miti yetu katikati ya barabara ikikauka.
 
Back
Top Bottom