Makonyeza
Member
- Feb 2, 2020
- 69
- 252
Dada yangu Tulia Atkson
Kwa umri wako na taaluma yako sikutegemea uje na cheap danganya toto kama hii!
Hii hapana bhana, unajaribu kutudanganya watu wazima wenzio, hapana dada yangu, yaani nasema VERY BIG NO!
Kama mngekuwa na dhati kwenye hili mngeelekeza aidha kunyang'anya hayo magari yanayotumia mafuta mengi na kuwapa magari ya kawaida, au kukata posho za Mafuta kwa viongozi wote, then kwa idadi yenu ingetuwia rahisi kujua tumeokoa Tshs. Ngapi.
Na kiasi kitakachookolewa kiongezwe katika ile ruzuku ya mafuta iliyotolewa na serikali.
Na kwa kufanya hivyo bado mtabaki kuwa viongozi tu, kiongozi sio gari la gharama, ni hekima na busara zako kwa faida ya watu wako.
Kuwaambia viongozi kuzima magari yao wanapokuwa wameshuka ni kumdanganya mtoto utamnunulia ndege yake
Kwenye mambo makubwa nadhani tunahitaji kuwa seriaz dada yangu!