Magari ya serikali -STK, SU, DFP

Huyo mkurugenzi wa tbs mnamsifia nini..? Wakati wanafunzi wazalendo wanaomba nafasi za kufanya mafunzo kwa vitendo wazungushwa na watu wa chini wake huku yeye akiwa kimyaaa ofisin na barua za maombi zina2mwa kwake wakat huo huo wanafunzi wa nch za nje wanakuja wamechelewa na wanapata nafasi..?sasa mnamsifia nn wakat si mzalendo i think huyu jamaa n mganda.

UMEONA EH!Kwani wewe mpaka leo ujui kwa ni wageni kwanza wazawa baadae.Kuanzia kwenye famili mgeni akija ndo anakula paja alafu watoto vishingo na kipapatio.WHY?
 
Natamani kuanzisha Petition ya watanzania wanaopinga manunuzi ya haya MA Landcruiser VX,na yale yatakayonunuliwa yawe na GPS ,kujua matumizi yake yakoje etc.
ukizingTatia siku hizi STK linabandikwa T registration bila woga wala Aibu,wakati enzi za STG huwezi hata kuota achilia mbali kufikiria kuwa unaweza kubadili namba ya LandRover 109 kuwa TZ unless uko usalama wa Taifa na ktk Zoezi/Operation maalum iliyopitishwa na Mkurugenzi.ila sikuhizi unakuta VX la serikali lina Tinted,full AC ,Mziki mdundo.

Tatitizo nani Atamfunga paka wa Fisadi Kengele
 
Back
Top Bottom