Magari ya Rizwan

We umejuaje kama ni za ridhiwani, au una tabia za kimtikila?
 
wanajf.
Hapa niko mpakani namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za rwizan zimetoka nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?

akili ni mali kila mtu ana zake...kama zako unazitumia kunywa gongo utabaki hivo hivo...siku hiz kuna nafasi tele za kujaa..kuna mabenki..kuna leasing companies pia kuna makampuni ya nje yanayo kopesha kwa riba ndogo kabisa
so akili yako ukiitumia vizuri basi utapata hata ndege...usiitumie kunywa gongo tu au serengeti then ukaleta stori za kilevi
 
Tatizo watanzania tumeshajazwa ujinga na wanasiasa waliofilisika sera kuna ubaya gani Ridhiwan kuwa na magari au kuwa tajiri? au ina maana wengine wanahaki s na kuliko ridhiwani? watu kama hawa msiwape nafasi mawazo yao tutajenga tabaka kubwa sana ktk haki za binadamu.
 
Ile kesi ambayo Rizwani alisema atamshitaki Dk Slaa kwa kumsingizia ati anamiliki malori chekwa imeishia wapi?
Kama kweli wanasema hayo magari ni yake, wanamuonea bure, dogo hawezi kuwa na hela za kununua hayo magari, IMMA wanamlipa milioni miangapi kwa mwezi? Wanao uwezo huo?
Hayo magari yatakuwa ya babake- yaani Jakaya Kikwete!
 

May be you are missing the point, Kama Ridhiwani ana utajiri kama huo sio vibaya na hakuna mwenye husda na huo utajiri wake. Swala ni je, utajiri huo alionao ameupata kihalali i.e. hakuiba au hakupata kwa njia za kifisadi, amelipia kodi kiasi gani na huo utajiri wake, matajiri wote wakubwa kwenye biashara zao kodi zao zipo wazi, inaonyesha kalipa kiasi gani kwa mujibu wa sheria. Pesa kutoka kwa mfano EPA, au kujichukulia mpunga kutoka benki kuu ati kwa sababu tu baba ni rais haikubaliki hizo pesa sio za rais ... .... ... ndio sababu Watanzania tunahoji maana walalahoi wa nchi hii ndio walipaji wakubwa wa kodi ambayo ndio inawawezesha wajanja wachache kutumia vibaya.


Kama unakumbuka
Ridhiwani mwenyewe alikiri hapa JF kwamba kwa sababu yuko mjini anaishi kiujanja ujanja i.e. kiwizi wizi. Hana tofauti na Ben Mkapa aliyeuza NBC kwa bei ya peremende.

NB Huu utajiri umefumuka wakati baba amepata urais?
 
Yuheri yeye anayewekeza nyumbani kuliko wengineo walioficha mabilioni Uswisi na kwingineko!
 
 
Hoja ya msingi ni kuwa akiyaleta Hapa Tz,yakatusaidia,Mi naona gud.Mf.Hapa Swanga,kuna kituo cha Mafuta kimejengwa very recently,hearsay zilizopo eti ni cha kwake,kikiwa kna jna Sabasaba,amepunguza msongamano kwenye vituo vingne.Nampongeza hata kama ni fisadi.Alete magari yatusaidie.
 
ndio hao hao mkuu,we unafikiri kuna wengine!!
 
mbona sikusomi ndugu!ni kama unajibu kwa jazba sana,au na wewe umo humo?
 
duuu watanzania sasa tumezidi majungu, tumekuwa watu wa kusikiliza kitu hata kwa mwendawazimu unaamini bila kutafiti, yaan wewe ulishindwa kuangalia hata majina ubavuni mwa gari, au hata bima na hata kadi za magari ukajihakiki. Hao watu wa Custom kama walikuwa wanapitisha tu bila kulipiwa walilamba mshiko tu na kumsingizia rizi hata kama hahusiki ili wajinga kama nyinyi muamini. Pamoja na hayo kumiliki mali ni haki ya kila mtanzania labda mtuambie kaiba wapi ili akamatwe
 
Hongera zake inaonesha jinsi gani kijana Rz anavyopambana na life!
 
huu ndio umbea na upashkuna tunaoukataa hapa kila siku.wewe unakurupukia jf kwa hisia zako tu.kwanini uhisi kuwa hizo gari ni za riziwan.kwanini sio za wafanyabiashara wengine kina ngiloi wenye vituo vya mafuta kila baada ya hatua mia moja????????????????
 
mi nimeuliza nimeambiwa hizo gari ni za kwako ila unajiwahi ili kuficha ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…