wanajf.
Hapa niko mpakani namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za rwizan zimetoka nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?
Hongera riz kwa kutupatia ajira ndugu zetu. Keep it upnimewahoji madreva kama sita hivi, wanasema ni za rizwan, na watu wa custom, nimehoji mbona haya magari yanapita tu? Nikajibiwa ni za wakubwa. Sasa ushahidi gani una taka?
Wanajf.
Hapa niko mpakani Namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za Rwizan zimetoka Nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?
Angezubaa na kubaki hana kitu bado raia wangekuja kuongea kuwa,aah dogo kacheza yule badala angepiga heal enzi za baba yake?wabongo cc banaaa!!!Humu jamvini ni nani kati yetu angepata chance hiyo asingeitumia?
Hivi mkapa hana mtoto? Mbona sio fisadi yeye?
Pro-Chadema JF tafute kazi mfanye majungu na kushinda vijiweni huku mnacheza drafti haitawasaidia...kwa hiyo uvivu wenu umesababishwa na Rizwani.
Ninyi wachumia tumbo mnakera sana humu. Hivi huyu jamaa amewahonga nini hadi mnatoka povu namna hii kumtetea?
Ile biashara ya Lucky cement anayofanya na watoto wa makamu waona ni binge la dili ndio maana wameamua kujenga chao kabisaKijana katumia vizuri nafasi ya mshua,Golden chance never come twice!!
Nasikia ana hisa lake oil ,anajenga kiwanda cha cement kigamboni duh
uuuuuuiiiiiiiiii Tanzania
Na wewe unajiona umechangia kwenye hii thread?Nasikia ana hisa lake oil ,anajenga kiwanda cha cement kigamboni duh
uuuuuuiiiiiiiiii Tanzania[/FONT][/SIZE]
Nenda jengo la ATCL posta kuna kampuni yake kubwa sana ya lugumi enterpri ltd manager wake hajui kusoma wa kuandika atakupa jibu...
Inaliza sana na kuumia kweli
wakati watanzania wanaangai wengine........
V
SENGEREMA
Nenda jengo la ATCL posta kuna kampuni yake kubwa sana ya lugumi enterpri ltd manager wake hajui kusoma wa kuandika atakupa jibu...
Inaliza sana na kuumia kweli
wakati watanzania wanaangai wengine........
V
SENGEREMA
Pro-Chadema JF tafute kazi mfanye majungu na kushinda vijiweni huku mnacheza drafti haitawasaidia...kwa hiyo uvivu wenu umesababishwa na Rizwani.
Siungi mkono hoja hii mambo ya kusema magari au kitu fulani ni cha mtu fulani bila ya kuwa na ushahidi wa ata wa kimazingira hii naikataa na umu JF tuikemee sana sababu hii trend ya kila magari na mabasi kuwa ya RIDHIWAN na kila maghorofa kuwa ya LOWASSA mimi naona ni utoto emu tuje na data ili tuende sawa.