Magari ya Rizwan

Magari ya Rizwan

Hiyo gari ni Maybach kama ya Rick Ross nadhani IPO pekee Tz aliyeiona kama hiyo anisahihishe

Yeah Ni Maybach Nyeupe kama hii,Nilikutana na Msafara wao Mbezi Beach.
Maybach.jpg
 
Amesemwa muda mrefu kuhusu yy ni tajili wa ghafla/ akubali achunguzwe kama kweli anajiamini yy hana utajili wa ghafla.anaongelewa sana huyu jamaa miladi mingi inayofanyika hapa tz lazima nae atajwe,sie tunaamini sababu lisemwalo lipo, kwa nini asemwe yy?, hata kwenye kuzoa taka dar anatajwa mtaan/athibitishie umma kwamba tuhuma hizi c zakweli
tajili=tajiri
miladi=miradi
 
Kama ulikuwepo usiku huo je huoni kuwa wewe ni msaliti na ulipaswa uwe umekufa kwa usaliti wako!!! lakini pili hizo dawa za kulevya/meno ya tembo unaona ndivyo pekee vya kufanywa na mtoto wa rais? unadhani kama wewe ulikwenda na ukashindwa kuona haki inatendeka je unastahili kuaminiwa? tatu Riz ni nani zaidi ya baba yake kuwa rais? hivi kupeleka madawa haya ni rahisi hivyo! na ulinzi wetu no dhaifu hivyo! mhhhh! waongo nao waliumbwa wanastahili kuheshimiwa!!!

Kwa nini sheria ya mitandao isipitishwe iwapo wapo watu km hawa, haivumiliki mtu atumie key board kumchafua mkuu wa nchi anavyotaka yeye.
Eti uhuru wa kujieleza, hakuna uhuru usio na mipaka. Hawa ni wakushughulikiwa tu kwa umbea na upotoshaji.
 
Wanajf.
Hapa niko mpakani Namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za Rwizan zimetoka Nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?

Sasa kama zake ww za nn au zinakuuma nn.unataka kumjadili mtu historia ya maisha yake huyajui.yani mtu akiwa nacho mnapiga kelele na wewe si tafuta vyako umekalia kuchunguza tu nani ana nini.au nani kala nini mchana.utakufa masikini tumia muda wako kufanya kazi Sio kudadisi maisha ya mtu.always time is a currency and day is a bank account.apply hiyo formula katika maisha yako itakuweka busy.
 
Wanajf.

Hapa niko mpakani Namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za Rwizan zimetoka Nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?


Hueleweki, umeambiwa ni ya Ridhiwani? Nadhani ungeleta mada kuuliza kama ni kweli au la, kabla ya kuuliza utajiri huo kautoa wapi!!
 
Wanajf.
Hapa niko mpakani Namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za Rwizan zimetoka Nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?

Huyo aliyekwambia anajua utajiri kautoa!
 
Maybach (MAY 1) . HAYO YA UNDUGU NA MKUU WA KWATA SIYAFAHAMU .
 
Watanzania Bhana Tunaishiaga Kulalamika Tu!Ila Maamuzi Magumu Huwa Hatuna Alietuloga Kashakufa!
 
Hi kama baba ndio rahisi, we kwa akili zako zaidi kuvukia barabara unafikiria dogo ndo awe mwkota chupa?
Tusidanganyane hapa.Hata ww baba ako ange kua rahisi wewe unge tusumbua sana.
 
acha wivu wa kike ngoja na wewe baba yako awe raisi upige hela kama yeye
 
Siungi mkono hoja hii mambo ya kusema magari au kitu fulani ni cha mtu fulani bila ya kuwa na ushahidi wa ata wa kimazingira hii naikataa na umu JF tuikemee sana sababu hii trend ya kila magari na mabasi kuwa ya RIDHIWAN na kila maghorofa kuwa ya LOWASSA mimi naona ni utoto emu tuje na data ili tuende sawa.

Halafu moderators wanapenda sana hizi uzi wa kipumbavu. Udaku udaku tu
 
always simple minds discuss people! wewe kaa tu discusss watu muda unakwenda pambana, tafuta usiendekeze ya mitaani/vijiweni, usiseme Tanzania/Watanzania masikini sema wewe na familia yako masikini kwa kushinda FB/JF/INST/TWEET NK, ukuaji wa uchumi unaanzia ngazi ya familia pambana uhakikishe familia yako inapata milo mitatu sio porojo tu.
 
Huyu dogo mnamsingizia jamani, mnakoelekea mtataka kuniaminisha kuwa vitu vyote vizuri hapa nchini kasoro mke wangu ni vya Ridhiwan. NO WAY TOENI USHAHIDI AU Mwacheni ana familia huyu inayoumia mkimsemasema vibaya.
 
Back
Top Bottom