Magari ya Rizwan

Magari ya Rizwan

Aisee mafisadi wananguvu nani wajanja sana. wanajua hapo baadae pakitokea vurugu mali zao zitaporwa ndio maana wanaficha hela Uswis na kama wana mali hapa nchini wanafungua makampuni ambayo hawaweki majina yao. Ndio hao hao wanakwamisha njia kuu za uchumi kama BANDARI, RELI, NDEGE NK. Leo hii ukianza kuzungumzia RELI ifufuliwe ili mizigo mikubwa ipite kwenye reli barabara zetu zidumu na zisiwe na mawimbi ambayo ni chanzo cha ajali. Nawahakikishia itapingwa bungeni na kwenye mikutano kwani hawa hawa mafisadi wana- Malory mengi sana ya mafuta na Mizigo mingine.
Shit. this is frozen country but i will take action.
 
Huyo jamaa Said Lugumi nasikia alikuwa ni shoe shiner kwenye mitaa ya Mwanza, Bwanshem Mpolisi mukubwa ndio aliyembeba mwanzo.
 
Kila kukicha nani kayajaza nani kayamwaga muda unakwenda masiku yanateketea
 
Tuwekee source yako hapa!
Kuambiwa tu haitoshi.., je aliyekuambia alishirikiana nae kuyanunua?!
Kafanye homework yako vzr then urudi na hbr inayoeleweka!
Kila la kheri!

Acha upuuzi wako wewe, afu utakuwa wa msoga wew
 
Huyo jamaa Said Lugumi nasikia alikuwa ni shoe shiner kwenye mitaa ya mwanza,Bwanshem Mpolisi mukubwa ndio aliyembeba mwanzo.

Alikuwa shoe shine Magu, Mwanza na ni limbukeni wa pesa
 
Acha upuuzi wako wewe, afu utakuwa wa msoga wew

Teh.. mbona povu linakutoka? Hoja inajibiwa kwa hoja na wala si maneno machafu!
Nadhani mpumbafu na wa Msoga ni wewe ambae umeshindwa kujibu nilichokuuliza!!
Weka source hapa watu tujenge hoja na si kutegemea habari za kuambiwa/vijiweni/bar!!
Badala ya kutetea hoja yako unakimbilia maneno yasiyokuwa na maana.
Uelewa wako mdogo sana ndio maana unam-discuss Riz1 and not issues!
Pole sana na endelea na ujinga wako au subiri huyo Riz! akuajiri kama dereva kwenye hayo magari yake!
 
Hakuna haja ya ushahidi hata kama ni yake imradi analipa ushuru haina tabu ngoja wale jamani kha hii nchi mimi nimechoka kila siku riz riz riz mwishowe hata mseme anawamiliki watanzania.
 
Wewe huna kazi ya kufanya? Sasa kilicho kupeleka hapo ni hayo magari? Wabongo bana.yani ni umbea kwa kwenda mbele.

Hii yote ni JF inawafanya watu wawe wambea wanahangaika mchana kutwa ili waje kuandika thread hapa.
 
...Ushahidi? Na hili ndilo linatumaliza WATANZANIA.. MAFUNUNU!!! Hakuna mtu anajiuliza TUNAJIKWAMUAJE!? Bali utajiri wa fulani na fulani ambao tunaona WANAUZA.. wale wasiouza au TUNAOWAPENDA UTAJIRI WAO WALA HATUNA MUDA WA KUUHOJI! sijui tunaelekea wapi...? tena afadhali huyo ameleta ajira je wale wanaozificha ughaibuni???

Bado kuna watu wa garage na garage znyewe watanufaika, hatujasema wauza vipuri na mama lishe wa njiani.... angalau kuna chochote kinaweza kupatikana!!

kwani nani anaushahidi wa 100 percent no evidence no right to talk ndo maana tanzania tumeshindwa kumaliza mafisadi sababu tunahisi tu bila ushahidi kamili sheria ikifuatwa tunabwagwa

Mwanamageuko,
Unapenda sana ushahidi eeh, acha uvivu wa kufikiri bwana we, ? sijali kama ni ya riz 1 au la lakini hizi lugha za kizamani za kila kitu LETE USHAHIDI achana nazo bana, you have to grow with time, mambo ya kudai ushahisi mwachie Makinda. naona wakati mwingine mnatoa comments kwa mazoea au kuiga tu, kwa sababu ulisikia fulani kadai ushahidi jukwaani basi na wewe kazi yako ni kudai ushahidi tu.

Mbona jk alisema ana majina ya wauza unga hamkumdai ushahidi, au ndo maana hajachukua hatua bado anatafuta ushahidi?

Upuuzi mwingine ni huu wa kusema ETI bora HUYU amewekeza nyumbani anatengeneza ajira, yani mtu akuibie pesa yako (kama ni kweli wanaiba), awekeze halafu akuajiri halafu na wewe na akili zako nyingi za kujua kudai ushahidi, unakenua meno na kusema afadhali nimepata ajira. kuna tofauti gani na mtu aliyechekelea kwa kubadilishana vipande vya chupa na almasi. samahani lakini wakati mwingine tushirikishe akili zetu wakati wa kuchangia hoja, hasa unapokuwa unajihusisha na watu wenye uwezo wa ku THINK OUT OF THE BOX.

Usiku mwema kama bado hujalala kama mimi.
 
Last edited by a moderator:
Majungu c mtaji na Lawama c mzigo,issue nzito kama hii haiwezi kupata jibu la uhakika kwa mjadala wa kijiweni
Ninyi wachumia tumbo mnakera sana humu. Hivi huyu jamaa amewahonga nini hadi mnatoka povu namna hii kumtetea?
 
Acha upuuzi wako wewe, afu utakuwa wa msoga wew
Hebu mueleweshe ndugu. Hawa wachumia tumbo wamekuwa kero sana humu. Sijui wanalipwa nini na huyo bwana kwa kujitahidi kumsafisha humu?

Nina mashaka, inawezekana akawa ndio mwenyewe ama mnufaikaji mkubwa wa huu ubadhirifu
 
Huo ni wivu wa kike (Pius), tusogee hatua nyingine mbele, badala ya kukimbilia JF kuandika rumors, fanya utafiti wa kina wa awali wa nani anamiliki magari hayo na utoe reference ya claims zako, vinginevyo unatupotezea muda kusoma junks
 
Kijana katumia vizuri nafasi ya mshua,Golden chance never come twice!!
Nasikia ana hisa lake oil ,anajenga kiwanda cha cement kigamboni duh
uuuuuuiiiiiiiiii Tanzania

kama anajenga kwa hela za halali au mkopo naunga mkono kwa sababu watanzania watapata ajira ila kama ni za wizi au madawa kama anavyoshutumiwa itakula kwake
 
mzee wake akifariki kisiasa tunamfunga, usihofu mkuu, siku zake zinahesabika na ndio maana wanajitahidi kumuweka MENDE,,,,Sorry Membe iliwalau miaka mitano baada ya mzee wake kufariki kisiasa malinde kijana wake.
 
Mambo ya BHACHU hayo!! Hata mimi kama nafasi ikipatikana naboresha!
 
Nenda jengo la ATCL posta kuna kampuni yake kubwa sana ya lugumi enterpri ltd manager wake hajui kusoma wa kuandika atakupa jibu...

Inaliza sana na kuumia kweli
wakati watanzania wanaangai wengine........

V
SENGEREMA

Sijui kama kuandika jina la kampuni ulikuwa na lengo la kuandika LUNGUNI au ni hivyo hivyo! Ila kama ni LUNGUNI, basi unanikumbusha juzijuzi hapa nilikuwa na ofisa mmoja mara gari la kampuni hii likapita, jamaa nilisikia akilalama kwa kusema..... "Duh, hawa jamaa wamezoa pesa za serikali kwa kupewa tenda ya kusambaza vifaa vya sensa, lakini mambo waliyoyafanya ni aibu tupu". Sasa kama kweli hiyo kampuni nayo ni ya Liz1 basi tumeliwa.
Nashukuru kwa kunifumbua macho.
 
ntakuja kukuibia siku moja halafu kutokana na mtaji huo nikuajiri wewe na familia yako.
Tatizo ni kumtuhumu mwenzenu bila uthibitisho hii hutokana na hisia za wivu, uvivu wa kuchanganua mambo, chuki binafsi na pengine ufinyu wa maharifa/ubunifu wa maisha yenu/yetu ya sasa na baadae. Kiukweli fikra mgando kama hizi ujenga lawama na malalamiko ambayo hayana mashiko kwa taifa letu sanax2 ni kufifisha ndoto za vijana wetu na kuwagawa kifikra.

Kama kuna ukweli kuhusu hili leteni ushaidi vinginevyo mtaonekana ni miongoni mwa wana jf ambao ni vinara wa kutunga uongo ama kushabikia uongo kitu ambacho si kizuri kwa jukwaa lenye heshima kubwa kama hili.ikumbukwe kuwa kuwa great thinker si kila hoja lazima uchangie ama ku-post hoja bali ni kuchambua,kutafiti na pengine kuleta mawazo mapya juu ya nini kifanyike na kwa wakati gani na ili iweje,vinginevyo tutaonekana kama ni thinkers ambao tumepitwa na wakati ama wenye mawazo hasi siku zote.
 
Back
Top Bottom