Magari ya Rizwan

Magari ya Rizwan

Kijana katumia vizuri nafasi ya mshua,Golden chance never come twice!!
Nasikia ana hisa lake oil ,anajenga kiwanda cha cement kigamboni duh
uuuuuuiiiiiiiiii Tanzania

Yote hayo ni ya kusikia tu huenda hayana ukweli!
Fanya homework yako vizuri ukipenda kutupatia feedback unakaribishwa!
Kila la kheri!
 
Wanajf.
Hapa niko mpakani Namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za Rwizan zimetoka Nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?

Tuwekee source yako hapa!
Kuambiwa tu haitoshi.., je aliyekuambia alishirikiana nae kuyanunua?!
Kafanye homework yako vzr then urudi na hbr inayoeleweka!
Kila la kheri!
 
Kijana ameukuta mkate nyumbani kazi yake ni kuupaka blue band haitaji kuumiza kichwa.Baba yake na wazaidi wake wanapambana jinsi ya kuizima chadema.Swala la umasikini kwa watu wake hana mda nalo kwa vile watoto wake wameshatajirika.Wamejenga barabara ili magari yao yapite.
 
Majungu si mtaji na Lawama si mzigo, issue nzito kama hii haiwezi kupata jibu la uhakika kwa mjadala wa kijiweni.
 
BORA YA HUYU KIJANA ANAYETHUBUTU KUWAAJIRI VIJANA WENZAKE KULIKO VIJANA/WAZEE WENGINE AMBAO HAWAFANYI HIVYO ILIHALI UWEZO WANAO.KWA HARAKAx2 MAGARI 78 HAPA TUNA MADEREVA 78+78 SPANA BOYS=156 EMPLOYMENTS THAT IS GOOD.

Ntakuja kukuibia siku moja halafu kutokana na mtaji huo nikuajiri wewe na familia yako.
 
Uliwahi ambiwa, wanafiki, waongo, wafiraji nk" hawataingia peponi? Basi mi nakwambia, chunga sana huo ulimi wako.

LETA USHAHIDI WA MAZINGIRA IKIWEMO DATA ZINAZOONYESHA UMILIKI WA R1, hatujadili habari za kidaku hapa JF of GT.
 
Kijana katumia vizuri nafasi ya mshua,Golden chance never come twice!!
Nasikia ana hisa lake oil ,anajenga kiwanda cha cement kigamboni duh
uuuuuuiiiiiiiiii Tanzania
...Ushahidi? Na hili ndilo linatumaliza WATANZANIA.. MAFUNUNU!!! Hakuna mtu anajiuliza TUNAJIKWAMUAJE!? Bali utajiri wa fulani na fulani ambao tunaona WANAUZA.. wale wasiouza au TUNAOWAPENDA UTAJIRI WAO WALA HATUNA MUDA WA KUUHOJI! sijui tunaelekea wapi...? Tena afadhali huyo ameleta ajira je wale wanaozificha ughaibuni???
 
BORA YA HUYU KIJANA ANAYETHUBUTU KUWAAJIRI VIJANA WENZAKE KULIKO VIJANA/WAZEE WENGINE AMBAO HAWAFANYI HIVYO ILIHALI UWEZO WANAO.KWA HARAKAx2 MAGARI 78 HAPA TUNA MADEREVA 78+78 SPANA BOYS=156 EMPLOYMENTS THAT IS GOOD.
Bado kuna watu wa garage na garage znyewe watanufaika, hatujasema wauza vipuri na mama lishe wa njiani.... angalau kuna chochote kinaweza kupatikana!!
 
"Achakuwa na majibu mepesi kwenye maswali magumu" au sio mtanzania mwenye viungo vyote.

Kwani nani anaushahidi wa 100 percent no evidence no right to talk ndo maana Tanzania tumeshindwa kumaliza mafisadi sababu tunahisi tu bila ushahidi kamili sheria ikifuatwa tunabwagwa.
 
Wewe hujui au unajaribu akiri za wana JF? Lete vitu makini hapabwana! Labda kwa faida yako, magari yote uliyo yaona au kuambiwa kuwa ni ya dogo RJMK, 2015 yatakuwa mali ya umma.
 
Kila mtu ushahidi ushahidi kwani hapa mahakamani mangapi yenye ushahidi wa kutosha yaliwekwa hapa mmeyafanyia kazi. Riz utajiri wake si halali wacha hayo magari ya mafuta kila mkoa hapa tz ana uwekezaji wake. Wananchi sisi si wajinga yasemwayo kwa hili dubwana ni la riz mimi pangu pakavu nitauliza ushaidi hapo tena. Subirieni ushaidi tu humu. Nendeni moro muone mlima uluguru anavyoufanya na chilakale resort yake km kuona ni moja ya ushaidi majengo yanavyosimama ndio mtarudi humu kuuliza ushaidi.
 
Nchi haijengwi kwa majungu,how sure are you kuwa hayo magari ni ya riz1?

Jamani wakati mwingine tuachane na hayo ma law, rules na taratibu nyingine zilizotengenezwa na watu kwa maslahi yao, wakoloni na mabepari, hata sometimes hizo rules zina prove kitu kisicho cha ukweli, hivyo nachosema muda mwingine tuamini kwa sababu suala moja haliwezi likaongelewa na wengi likawa la uongo, kwani hamna watoto wengine wa wakubwa mpaka watu wamtaje riz1 peke yake, ni kweli huyo dogo ana utajiri wa kutisha.
 
Wanajf.
Hapa niko mpakani Namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za Rwizan zimetoka Nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?

Ndio maana Kapewa Ulezi wa TIMU YA TAIFA SERENGETI wanajua ana pesa nono $$$$
 
Nchi haijengwi kwa majungu,how sure are you kuwa hayo magari ni ya riz1?

Jamani wakati mwingine tuachane na hayo ma law, rules na taratibu nyingine zilizotengenezwa na watu kwa maslahi yao, wakoloni na mabepari, hata sometimes hizo rules zina prove kitu kisicho cha ukweli, hivyo nachosema muda mwingine tuamini kwa sababu suala moja haliwezi likaongelewa na wengi likawa la uongo, kwani hamna watoto wengine wa wakubwa mpaka watu wamtaje riz1 peke yake, ni kweli huyo dogo ana utajiri wa kutisha.
 
Kaa karibu na riZZZee moko ufaidi mema ya dunia. Hivi kuna link kati ya TSN, LAKEoil,barghozah??? Nimeyasikia tu mtaani
 
Wanajf.
Hapa niko mpakani Namanga naona magari mapya ya kubebea mafuta zaidi ya 78 harakaharaka nilizoweza kuhesabu. Naambiwa ni za Rwizan zimetoka Nairobi kujengewa tank za mafuta. Sawali utajiri huu ameutoa wapi?
Next time mchague Rais tajiri maskini atamaliza pesa zote
 
Back
Top Bottom